Hongera sana kijana, naamini umechagua mtu sahihi kwa ajili ya maisha yako, Ila ufahamu tu sisi waafrika ni watu wa maisha ya extended family. Hivyo huyo mkeo asije awakawaona ndugu zako ni kero, na yale maisha ya kula baga mnatoka nje kuvinjari anaweza akayakosa pia avumilie tuHeri iwe nanyi.....nimeamua kufany maamuz my magumu Kama kijana...Leo 15/9. Nafunga ndoa maeneo ya ukonga Mombasa...karibun ... naambatanisha Na sendoff picha iliyofanyik alhamisView attachment 866571View attachment 866572
Atahamia kwa mashemeji, huyu bwana harusi mkewe awe makini sana na ndugu zake.Hongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Hongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Ungesema mapema sasa...!!!any one akiwa free ani pm
Kale pilau ilo rayUngesema mapema sasa...!!!
Kijana atakua anapasha kiporo uyuKila laheri, wale binamu zako hawajapata wivu? Watakuwepo kwa shughuli kweli