Hii ndiyo tatizo la JF kuvamiwa wa watu wa Facebook, tunajadili kuhusu mustakabali wa siasa wewe unaanza kubandika watu vyama!
Tazama akili zako zilivyo, kama unakili kuwa siyo wanachama wa CHADEMA, wapo Bungeni kwa chama gani? Maana katiba inaeleza kuwa huwezi kuwa Mbunge kama siyo mwanachama wa chama cha siasa!
Ndugu, kuwa na huruma na kodi yako inayo tumiwa vibaya na COVID19....