Polisi inabidi wamshughulikie
Ukitaka kujuwa kuwa huyo mbunge ni bwege kweli tazama hii clip:
Ukitaka kujuwa kuwa huyo mbunge ni bwege kweli tazama hii clip:
Huyu Bungara ndiyo hupenda kuitwa hivyo aka Bwege Naibu spika hakutukana."We mheshimiwa bwege acha kuonyesha ubwege wako" alitoa kauli hiyo wakati Mbunge wa Kilwa Kusini CUF Seleman Said Bungala aliposimama kupinga maelezo ya Nape bila kufata kanuni za Chombo hicho cha kutunga Sheria.
Source Mwananchi online.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]haya ndio madhara ya kulazimisha watu vyeo , huyu dada alikalishwa kwenye unaibu spika kwa super glue tu , kiukweli wala hakufit kabisa .
Kiongozi gani wa wizara sasa watu kwa kudandia bila hata kusoma na kuelewa kilochoandikwa hamjambo.magufuli alipoitwa hivyo kesi ilifika mahakamani..
nitashangaa huyu kiongozi wa wizara akiachwa kama alivyoachwa yule kada aliefoji hati ya mahakama DSM..
Wwe utakuwa umetukana. Naibu spika alimuita bwege mtu anayejiitaBwege. Hao mwananchi wanajua hilo sijui kwanini leo kwao imekuwa ni habari.Huyu naibu Spika bwege kweli
mkuu nilikosea kama kile kijamaa kilichosema Sadam hossein alikua rais wa Quwait..Kiongozi gani wa wizara sasa watu kwa kudandia bila hata kusoma na kuelewa kilochoandikwa hamjambo.
khaaaaaa !hivi kweli watu tukakae kwenye live tv tukamsikilize huyu mzee mwwnye elimu ya hapa na pale akiomba mwongozo wa shanga?Naibu speaker hajakosea kuna wabunge mabwege kwa mfano Kubenea mzee wa Elimu ya hapa na pale aliyesimaa kuomba muongozo wa Shanga.
Hahaa! Emu waulizeBwege na shanga lipi tusi
Ha ha haaaaa dah mecheka sanaNaibu spika huyu dada sijui CCM walimtoa kwenye vigodoro!! Yan yupo kipashukunaaa!! Na ile ongea yake nadhani kwenye sms ni aina ya wale watu wanaoandika "xory" "xaxa" "xema" na the like... Kwa kifupi hamna kitu mle!!!
Ulitaka amuiteje?"We mheshimiwa bwege acha kuonyesha ubwege wako" alitoa kauli hiyo wakati Mbunge wa Kilwa Kusini CUF Seleman Said Bungala aliposimama kupinga maelezo ya Nape bila kufata kanuni za Chombo hicho cha kutunga Sheria.
Source Mwananchi online.