Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

Naibu spika aunganishwr ile kesi ya Arusha kama mshtakiwa na 2. Lazima tupambane na hawa watu wanaowaita wengine jina hilo
Tena jina ambalo ni tusi? Naye ashitakiwe. Kuunganishwa atashinda. Ashitakiwe kivyake.
 
Naibu speaker hajakosea kuna wabunge mabwege kwa mfano Kubenea mzee wa Elimu ya hapa na pale aliyesimaa kuomba muongozo wa Shanga.
Vipi ushaenda kuwasha na kupanga vibatari pale mwembe madafu?au leo hufanyi kazi sababu ya mvua?
 
Hapo hajamdhalilisha mkuu.
Huyo Mbunge Saidi Bungala jina lake maarufu anaitwa Bwege.
Ukienda Kilwa ukiuliza Saidi Bungala yawezekana ikakuchukuwa muda mrefu kumpata. Lakini Ukiuliza Mbunge Bwege, hata mtoto wa miaka 5 atakupeleka. Hilo ni jina lake

Soma vizuri post, tusi lipo. Kwanini aseme UBWEGE wako? Angemwambia "Mhe. Bwege fuata kanuni" hapo sawa...
 
"We mheshimiwa bwege acha kuonyesha ubwege wako" alitoa kauli hiyo wakati Mbunge wa Kilwa Kusini CUF Seleman Said Bungala aliposimama kupinga maelezo ya Nape bila kufata kanuni za Chombo hicho cha kutunga Sheria.
Source Mwananchi online.
Hivi huyo Tulia nani alimpatia hiyo nafasi ya unaibu spika?obviously ni wabunge wa ccm kwa kutoangalia maslahi ya taifa,wao kila wanacho letewa na viongozi wao ni ndiyoooooooooooo
 
Bwege kwanza inaweza kuwa nick name ya mtu sliyejiamulia kuitwa hivyo, lakini pia ni mtu zuzu mgumu kuelewa, mbishi asiye na sababu ya kufanya hivyo, lakini pia mwenye busara said kushikiwa.
Naona umeamua kuwatukana wananchi waliomchagua huyo mheshimiwa
 
Huyu naibu spika ni tatizo alisha mkoromea mama Sita mpaka mama macho yakamtoka, yani sijui alichaguliwa kwa vigezo gani huyu mtu mjivuni namna hii.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu mjivuni?
 
Soma vizuri post, tusi lipo. Kwanini aseme UBWEGE wako? Angemwambia "Mhe. Bwege fuata kanuni" hapo sawa...

Anaweza kusema "NA UBWEGE WAKO" kama utani tu. Kumbuka hilo jina la Bwege ni la utani.
 
Bwege, imekuwa bwege. Inabidi huyu demu sura mbaya naye ashtakiwe
 
"We mheshimiwa bwege acha kuonyesha ubwege wako" alitoa kauli hiyo wakati Mbunge wa Kilwa Kusini CUF Seleman Said Bungala aliposimama kupinga maelezo ya Nape bila kufata kanuni za Chombo hicho cha kutunga Sheria.
Source Mwananchi online.

Huyo si ndo anavyojiita! Siku zote hujitamka hadharani kuwa ni Bwege, sasa tatizo liko wapi?
 
Haya maneno acha kuonyesha ubwege wako c ya mtu kama spika.
 
Back
Top Bottom