Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

Ni ubwege kutofata kanuni, wabunge hupewa mwezi kusoma kanuni vizuri pia kuna semina elekezi kulimishwa taratibu zakibunge, kuitwa bwege ni lazma hata mie ningemuita
Kesi inakungoja. Remember tayari kuna kesi.
 
Mkuu, huyo Bwege wala haoni tabu kujiita na kuitwa jina hilo. Nashangaa mnapotokwa mapovu. Rais wetu anaitwa John Pombe Joseph Magufuli. Haina shida
Mkuu Lizaboni kumbuka Mh Madabida tena kada wa CCM aliwaambia wabunge wanafikili kwa kutumia makalio na ni kweli kwani hata allowance zao huziita Sitting allowance,wabunge walimuijia juu. Sasa iweje hili Naibu spika kaliongelea Bungeni kumdhalilisha mbunge mwenzake tena wa kuchaguliwa sio kama yeye wa kuteuliwa?
 
Mkuu, huyo Bwege wala haoni tabu kujiita na kuitwa jina hilo. Nashangaa mnapotokwa mapovu. Rais wetu anaitwa John Pombe Joseph Magufuli. Haina shida
Wapo watu wengi hawajui haki zao wao huona ni sawa lkn ww unaeona hapati haki yake paza sauti ili haki yake itendeke, sijui unanielewa!
 
Tz! Mabingwa wa kujadili na kuchomekea upuuzi! Bwege ni jina lake! Ns hakukosea ni utani tu!
 
Naibu spika huyu dada sijui CCM walimtoa kwenye vigodoro!! Yan yupo kipashukunaaa!! Na ile ongea yake nadhani kwenye sms ni aina ya wale watu wanaoandika "xory" "xaxa" "xema" na the like... Kwa kifupi hamna kitu mle!!!
 
Tz! Mabingwa wa kujadili na kuchomekea upuuzi! Bwege ni jina lake! Ns hakukosea ni utani tu!
Majina ya mitaani ni mitaani huko wakikutana, kuna waheshiwa wengi wanamajina ya ukoo lkn ukimuita hadharani itakula kwako
 
"We mheshimiwa bwege acha kuonyesha ubwege wako" alitoa kauli hiyo wakati Mbunge wa Kilwa Kusini CUF Seleman Said Bungala aliposimama kupinga maelezo ya Nape bila kufata kanuni za Chombo hicho cha kutunga Sheria.
Source Mwananchi online.
Hili si ndio lile tusi? Is this true?!
 
Naibu spika huyu dada sijui CCM walimtoa kwenye vigodoro!! Yan yupo kipashukunaaa!! Na ile ongea yake nadhani kwenye sms ni aina ya wale watu wanaoandika "xory" "xaxa" "xema" na the like... Kwa kifupi hamna kitu mle!!!
Kuandika xaxa ama xory hakuashilii hana akili isipokuwa anaagalia upana wa akili yako, mfn mwl akawambia wanafunzi tamka "A" nao wakajibu tamka "A"
 
Bungara analipenda hilo jina na anaona fahari kuitwa hivyo ndio maana hakuomba muongozo
Hata hivyo hawezi kufurahia akiambiwa kwa mfano aache "ubwege". Binafsi nafikiri naibu spika amekosea sana. Bungeni ni mahali ambapo majina ya utani hayatakiwi kutumika. Kwa hakika Tulia hajatulia kabisa na anahitaji msaada!
 
Naomba aliye karibu na wabunge wa ukawa awaambie "watembeze mkono wa maana na viti vitembee angani kisawa sawa". Vinginevyo watatukanwa kila siku.
 
Bwege ni yeye mwenyewe..asingekuwa bwege asingebebwa kama furushi kuupata uspika
 
Ni ubwege kutofata kanuni, wabunge hupewa mwezi kusoma kanuni vizuri pia kuna semina elekezi kulimishwa taratibu zakibunge, kuitwa bwege ni lazma hata mie ningemuita
Kwa hiyo unataka kutuambia nini kuhusu yule kijana Kule Arusha mwenye kosa kama hili?
 
Hii thread ya kujadili bwege nayo naiona imeshageuka kuwa ya kibwege
 
"We Mheshimiwa Ng'wanza (Mleta thread) acha kuonesha Ung'wanza wako" nikisema hivi tusi liko wapi?

..hata kama anajiita bwege, Naibu Spika hakupaswa kumuita mheshimiwa mbunge jina hilo.

..wakati wote wa mijadala ya bunge, spika/naibu spika/mwenyekiti wa kikao anatakiwa a interact na wabunge in a formal manner.

..bungeni ni sawa na mahakamani. Kwa hiyo wabunge wanatakiwa watambulishwe kwa majina yao rasmi yanayotambulika kisheria.
 
Back
Top Bottom