Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

Hata hivyo hawezi kufurahia akiambiwa kwa mfano aache "ubwege". Binafsi nafikiri naibu spika amekosea sana. Bungeni ni mahali ambapo majina ya utani hayatakiwi kutumika. Kwa hakika Tulia hajatulia kabisa na anahitaji msaada!
Bwege kapata kura kwa jina hilo ,anashangilia sana akkitwa bwege sijui anapata nini,wabunge hao wanajuana
 
Hiyo ni kauli imetolewa bungeni Na Kiongozi mkubwa wa bunge.Naibu spika Tulia,akimweleza mbuge asionyeshe ubwege bungeni.
Nimetafakari Naibu Spika anamwita mbunge wake bwege na ashitakiwi.Mhe Msigwa kamtaadharisha naibu spika na kwemweleza naye anastahili kupandishwa kortini kama yule kijana wa arusha anayetuhumiwa kumwita Rais bwege.Naibu spika amejikuta akitamka maneno hayo baada ya Waziri Nape kusema"Wananchi wanaona bunge na pia waandishi wapo bungeni na wanachukua habari zao kwa uhuru.Ndipo kelele zilipozuka na Naibu Spika kumwambia mbunge asionyeshe ubwege wake.Neno ambalo limezua utata siku za karibuni likitafsiriwa kwa mitazamo tofauti.
 
Back
Top Bottom