Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

Naibu speaker hajakosea kuna wabunge mabwege kwa mfano Kubenea mzee wa Elimu ya hapa na pale aliyesimaa kuomba muongozo wa Shanga.

Mpe namba yako ya Tigo then akikupigia ndo utajua ni bwege au sio bwege
 
Naibu speaker hajakosea kuna wabunge mabwege kwa mfano Kubenea mzee wa Elimu ya hapa na pale aliyesimaa kuomba muongozo wa Shanga.
Utafungwa wewe, wenzako wana Kinga ya kutoshtakiwa wale, we endelea kuwaita tu wenzako mabwege
 
Kwa nafasi aliyonayo Tulia hakupaswa kutumia maneno yale ya kumkebehi mwakilishi wa wananchi tena katika chombo chenye dhamana ya kutunga sheria,anadhalilisha taaluma ya sheria aache kukurupuka.
 
Huyu naibu spika ni tatizo alisha mkoromea mama Sita mpaka mama macho yakamtoka, yani sijui alichaguliwa kwa vigezo gani huyu mtu mjivuni namna hii.
Angalau hana sura nzuri!
 
Naibu speaker hajakosea kuna wabunge mabwege kwa mfano Kubenea mzee wa Elimu ya hapa na pale aliyesimaa kuomba muongozo wa Shanga.
Kosa la mtandaoni hilo! utanyofolewa hata kama unatumia jina la bandia.
 
Bunge hili liliwekewa mikakati ya kudhibitiwa na serikali tangu mwanza ndiyo maana u vodafasta ulitumika kumuweka speaker na naibu wake kale ka binti kasiko na uzoefu wowote wa shughuli za BUNGE!!!!!!!!!!!!. NAPE kufungia vyombo vya habari visurushe habari za bunge kwa njia ya radio au TV mpaka wapewe habari inayomfurahisha Ndugai au kale kasichana!!!!!!!!!!
Big shame upon Tanzania of today
 
Mpe namba yako ya Tigo then akikupigia ndo utajua ni bwege au sio bwege
Mkuu umejuaje..inaonekana huwa unampa namba yakoa ya tigo kama ulivyosema ..haya bhana we endelea kumpa kubenea namba yako ya tigo.
 
UOGA ni silaha ya Awamu hii wao wanataka kushangiliwa sio kurekebishwa mbele za watu "hata magufuli akiangusha kijiko mtasimama na kumpigia makofi"- mh Msigwa hii imeifanya siku yangu kuwa nzuri mno
 
nimeshawahesabu humu wengi mtafikishwa kunako mahakamani maana sasa mnawaita watu kibao mabwege tunawakusanya tu mkaungane na yule wa arusha
 
Back
Top Bottom