strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Yule jamaa wa arusha si alimwitaga magufuli bwege akakakamatwa na huyo spika vipi?
Hapo Ung'wanza wangu umekukosa nini au ndo kufunika neno Uj.inga wako?"We Mheshimiwa Ng'wanza (Mleta thread) acha kuonesha Ung'wanza wako" nikisema hivi tusi liko wapi?
Naibu speaker hajakosea kuna wabunge mabwege kwa mfano Kubenea mzee wa Elimu ya hapa na pale aliyesimaa kuomba muongozo wa Shanga.
Apandishwe kizimbani kama yule jamaa wa Arusha.Sawa jina lake ni Bwege,lakini alivyoiongea ni kumdhalilisha mh Mbunge kwa kumuita Bwege (jina) acha Ubwege sio tusi?
Ni tusi na ukimtukana mtu waweza kushtakiwa Mahakamani?Wenye kujua kiswahili fasaha tunaomba mtuambie maana ya Bwege .
Hapo Ung'wanza wangu umekukosa nini au ndo kufunika neno Uj.inga wako?
Umekosea hukumalizia kujiita Lizabon Bwegekwani nikisema mimi ni Lizaboni naonesha ulizaboni wangu nitakuwa nimekosea wapi?
Mkuu, huyo Bwege wala haoni tabu kujiita na kuitwa jina hilo. Nashangaa mnapotokwa mapovu. Rais wetu anaitwa John Pombe Joseph Magufuli. Haina shidaMajina ya kutaniana hayatumiki ofisin, kazin wala bungeni mtu aite kwa majina yake sahihi huo ndo mwongozo wa nchi yetu Kwan wapo watumishi wengi serikalin majina yao eidha ya ukoo au walipachikwa mashuleni yaajabu kweli kweli so kikaz yatumike majina ya kikaz, aombe radhi mheshimiwa kwa jina hilo
Majina ya kutaniana hayatumiki ofisin, kazin wala bungeni mtu aite kwa majina yake sahihi huo ndo mwongozo wa nchi yetu Kwan wapo watumishi wengi serikalin majina yao eidha ya ukoo au walipachikwa mashuleni yaajabu kweli kweli so kikaz yatumike majina ya kikaz, aombe radhi mheshimiwa kwa jina hilo
Kuna mtu ana kesi mahakamani kwa kumwita mwingine bwege. Naibu speaker naye atapelekwa? Sasa na wewe unakazia kuwa kweli kuna wabunge mabwege!!! Yaani wananchi waliowachagua hawakujua wanachagua mabwege? Nadhani si haki kumwita mwenzio bwege. Bungeni watu wanatakiwa kuheshimiana na washindane kwa hoja sio kuitana mabwege. Hii ni dharau.Naibu speaker hajakosea kuna wabunge mabwege kwa mfano Kubenea mzee wa Elimu ya hapa na pale aliyesimaa kuomba muongozo wa Shanga.
Ha ha ha!!! Nadhani ni jina la ukoo.Nchi hii mabwege wako wangapi?au ni jina la ukoo fulani