Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

Hii ina maana kwamba wanao wito, na wanajaribu kutafuta pa kutokea. Kombo anajaribu kuwaelimisha na pia jamaa wa ICC wanataka kuja jufanya investigation serikali ya samia inawazuia. Hapo ndo wanapojikoroga hasa. Kombo ata ukisema video ni fake haisaidii. Hii si mahakama za kit anzania ambazo rostam alisema zinapigiwa simu. Elewa waliowashitaki wapo Madrid na South Africa. Sasa unapomueleza jamaa kwamba mmeunda tume hili kuchunguza ni ujinga mtupu. Hata sheria za Tanzania haziruhusu mtuhumiwa kujipeleleza, kujihukumu mwenyewe. Please Kombo prepare for ICC, we know you are not ready to allow them to investigate. Please answer the ICC letter please.
Mkuu kuna juhudi za kila aina hivi sasa zinatumika kumuokoa Samia, wanatumia kila aian ya mbinu uijuayo kuhakikisha hio kesi haifanikiwi, kikubwa upande wa pili ni kuendelea kuililia ICC tu itende haki.

Maana jamaa ni wataalamu wa maigizo, ukiwaona jinsi wanavyojichekesha na kuonyesha unyenyekevu mbele ya wakubwa na wawakilishi wa ICC utasema ni watu kumbe wanyama.

CHondechonde ICC iendelee kukazia palepale.
 
Haijajulikana walikuwa wanazungumza kitu gani lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10.

Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya.
==========

On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC Deputy Prosecutor Mame Mandiaye Niang met with H.E Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation of #Tanzania.

View attachment 3543828

View: https://x.com/IntlCrimCourt/status/2022666237063622728?s=20

Naona lithabiti combo limekaa kiwoga woga kama linataka kukimbia
 
Mkuu kuna juhudi za kila aina hivi sasa zinatumika kumuokoa Samia, wanatumia kila aian ya mbinu uijuayo kuhakikisha hio kesi haifanikiwi, kikubwa upande wa pili ni kuendelea kuililia ICC tu itende haki.

Maana jamaa ni wataalamu wa maigizo, ukiwaona jinsi wanavyojichekesha na kuonyesha unyenyekevu mbele ya wakubwa na wawakilishi wa ICC utasema ni watu kumbe wanyama.

CHondechonde ICC iendelee kukazia palepale.

Mkuu hawawezi kukwepa muziki huu. Maana hata mkutanoni watu walishangaa Sana mtu anaonekana kana kwamba hajafanya chochote. Yaani umeona macho ya jamaa wa icc? Anamsikiliza kombo between the lines with critical thinking.
 
On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC Deputy Prosecutor Mame Mandiaye Niang met with H.E Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation of #Tanzania.
Na yeye wamemtengea fungu la kumlipa ili asiendelee na hiyo kesi?
 
Mkuu kuna juhudi za kila aina hivi sasa zinatumika kumuokoa Samia, wanatumia kila aian ya mbinu uijuayo kuhakikisha hio kesi haifanikiwi, kikubwa upande wa pili ni kuendelea kuililia ICC tu itende haki.

Maana jamaa ni wataalamu wa maigizo, ukiwaona jinsi wanavyojichekesha na kuonyesha unyenyekevu mbele ya wakubwa na wawakilishi wa ICC utasema ni watu kumbe wanyama.

CHondechonde ICC iendelee kukazia palepale.
Icc msiwe kama mahakama za Tanzagiza!Mtapoteza Imani yenu mbele ya uso wa dunia Tanzagiza tunafahamu mifumo ya haki ilisha uwawa na kuzikwa pasipojulikana.Na wenye map wanatafuta kwa tochi japo wazike na kumaliza msiba huo Ila bila mafanikio.Chondechonde ICC msi waangushe wahanga wanaowategemeeni!
 
Mkuu hawawezi kukwepa muziki huu. Maana hata mkutanoni watu walishangaa Sana mtu anaonekana kana kwamba hajafanya chochote. Yaani umeona macho ya jamaa wa icc? Anamsikiliza kombo between the lines with critical thinking.
Halafu sijaelewa ina maana kwenye hio ziara ya Ethiopia kumbe kina Kombo nao walikwenda? halafu si ilikuwa ni ziara ya kwenda kwenye mkutano usiohusiana na haya masuala ya ICC, au waliona ni mwanya kuwaita hao wawakilishi wa ICC pembeni kujitetea.. na ICC walivyo wakaamua waweke mambo hadharani, maana huwa hawachelewi kuwaita wawakilishi vichochoroni na kuwahonga mapesa.
 
Kombo kupewa barua ya wito yenye tarehe ya kuanza kusikiliza kesi ya mauaji
Hawa ICC kufanya mambo gizani kunawaweka kwenye hali isiyo sahihi kabisa.

Ndio maana waTanzania ni lazima walichukulie hili jambo kuwa ni kazi yao, na wasitegemee hawa watu toka nje kuwaondoa kwenye umateka waliomo sasa hivi chini ya watu waovu hawa.
 
Icc msiwe kama mahakama za Tanzagiza!Mtapoteza Imani yenu mbele ya uso wa dunia Tanzagiza tunafahamu mifumo ya haki ilisha uwawa na kuzikwa pasipojulikana.Na wenye map wanatafuta kwa tochi japo wazike na kumaliza msiba huo Ila bila mafanikio.Chondechonde ICC msi waangushe wahanga wanaowategemeeni!
Sahihi mkuu..
 
Hivi wakuu mfano akahukumiwa , alafu akaishi tu kama trump au neta , na akisttafu akarudi kizimkazi

Mtahesabu ni W au L ?

na hapo ndipo mnapofanya kosa kumfananisha na israel au putin, kama kweli arrest warrant ikitoka mwisho wao unakuwa umefika na uraisi utaisha wapende wasipende, hapa salama yao wapambane tu labda wasitoe arrest warrant lkn kama ikitoka hatoboi kwani kitakachofwatia ni regime change ambayo inakuwa justified dunia nzima, ni ngumu kupata mtetezi ...
 
Halafu sijaelewa ina maana kwenye hio ziara ya Ethiopia kumbe kina Kombo nao walikwenda? halafu si ilikuwa ni ziara ya kwenda kwenye mkutano usiohusiana na haya masuala ya ICC, au waliona ni mwanya kuwaita hao wawakilishi wa ICC pembeni kujitetea.. na ICC walivyo wakaamua waweke mambo hadharani, maana huwa hawachelewi kuwaita wawakilishi vichchoroni na kuwahonga mapesa.
ICC lazima uwepo kwenye mkutano maana baadhi ya mataifa ya Africa ni member states pia. Kwa Hali hiyo ICC ndo imefaidi maana imepata access ya kukutana na mtu ambaye anashitakiwa kwao . Hapa kombo na wenzake ndo wameingia 18 za watu wa mahakama.
 
Hawa ICC kufanya mambo gizani kunawaweka kwenye hali isiyo sahihi kabisa.

Ndio maana waTanzania ni lazima walichukulie hili jambo kuwa ni kazi yao, na wasitegemee hawa watu toka nje kuwaondoa kwenye umateka waliomo sasa hivi chini ya watu waovu hawa.
Kiukweli hata mimi imani yangu inakuwa ndogo , maana serikali ina nguvu na pesa, na wanafanya kila liwezekanalo kumaliza hili jambo.

Hii ya kusema ni taasisi yenye nguvu sana kwamba haitorubunika au kubadili mawazo sitaki kuamini sana, watu pekee wa ku push hii agenda ni Watanzania wenyewe ikiwemo wanaharakati, na viongozi kutoka vyama vya upinzani, hili la kusema kuiachia ICC pekee kunakuwa na mashaka.

ICC inabidi ishinikizwe na kusukumwa kila uchwao ili wasijisahau.
 
Halafu sijaelewa ina maana kwenye hio ziara ya Ethiopia kumbe kina Kombo nao walikwenda? halafu si ilikuwa ni ziara ya kwenda kwenye mkutano usiohusiana na haya masuala ya ICC, au waliona ni mwanya kuwaita hao wawakilishi wa ICC pembeni kujitetea.. na ICC walivyo wakaamua waweke mambo hadharani, maana huwa hawachelewi kuwaita wawakilishi vichochoroni na kuwahonga mapesa.
ICC kukaa kimya kabisa tokea mauaji, wala hata bila kusema lolote kunawatia katika hali ngumu.

Ni kama wanasubiri kitu, au waTanzania wasahau, kama ilivyo mategemeo ya hawa waovu!

ICC hadi wakati huu haijawatendea haki wote waliojitokeza kupeleka hilo swala kwao, na wao kulikalia kimya kabisa bila ya mrejesho wowote.

Hata kama wangeona kuwa siyo swala linalokidhi vigezo vyao, walipaswa kulitolea taarifa mapema, na siyo kulikalia kimya tu!
 
Back
Top Bottom