Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,144
Reaction score
56,409
Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC.

Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya.
==========

On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC Deputy Prosecutor Mame Mandiaye Niang met with H.E Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation of #Tanzania.

HBILBnWa4AAP45z.jpeg


SOMA PIA

Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

ICC wametoa Repoti ya jumla ya ziara ya Naibu mwendesha Mashitaka Mame Mandiaye Niang.
Soma Hapa..... 👇
 
Ngoja machawa waje wanavyobwatuka eti ICC hakuna kesi, Samia sio mjinga kujipendekeza Kwa chief prosecutor ila ushitakiwe na
Intelwatch
Madrid Bar Association

Huwezi kuchomoka.

Samia hasipokamatwa ila ikitoka arrest warrant ata Addis Ababa Ethiopia hatokanyaga
 
Haijajulikana walikuwa wanazungumza kitu gani lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10.

Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya.
==========

On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC Deputy Prosecutor Mame Mandiaye Niang met with H.E Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation of #Tanzania.

View attachment 3543828
Kina Lucas watasema ni AI 😛 😛 😛 😛 ,"OCAMPO" lazima awatie NYAVUNI...Sema kimeumana.
 
Hii ina maana kwamba wanao wito, na wanajaribu kutafuta pa kutokea. Kombo anajaribu kuwaelimisha na pia jamaa wa ICC wanataka kuja jufanya investigation serikali ya samia inawazuia. Hapo ndo wanapojikoroga hasa. Kombo ata ukisema video ni fake haisaidii. Hii si mahakama za kit anzania ambazo rostam alisema zinapigiwa simu. Elewa waliowashitaki wapo Madrid na South Africa. Sasa unapomueleza jamaa kwamba mmeunda tume hili kuchunguza ni ujinga mtupu. Hata sheria za Tanzania haziruhusu mtuhumiwa kujipeleleza, kujihukumu mwenyewe. Please Kombo prepare for ICC, we know you are not ready to allow them to investigate. Please answer the ICC letter please.
 
Hivi wakuu mfano akahukumiwa , alafu akaishi tu kama trump au neta , na akisttafu akarudi kizimkazi

Mtahesabu ni W au L ?
 
Huyu DPP angekuwa mzungu angalau ningekuwa na uhakika wa hii kesi kuanza kusikilizwa .. Sisi waafrica tunajuana mioyo yetu

asikudanganye mtu, ufanisi hauna rangi ni swala la mfumo tu kwenye mfumo unaofanya kazi wanafwata meritocratic system hivyo haijalishi unatokea wapi au rangi yako huwezi kupita na kufanya kazi bila ya merit ingekuwa hivyo unavyosema ni kweli basi waafrika wasingeweza kufanya kazi na ku lead big multinational coorperations au hata un bila ya matatizo yoyote yale, waafrika na black people wamejaa un, imf, worldbank etc.

tatizo kubwa la tanzagiza ni kutokufwata meritocratic system ambapo watu wasiostahili wanapata kazi na kupanda madaraja mpaka kufika juu na mwishowe wanakuwa ndiyo waamuzi wa mwisho ingawaje they did qualify for the job to begin with, hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya rich developed Christian countries vs poor under developed countries, kama tungekuwa na meritocratic system hawa public servants wanaotembelea ma-bentley leo wangechujwa na mfumo huko chini na wasingefika popote labda wangeishia ukarani tu kama hata wangequalify, its all about meritocracy ...
 
Kwanini Trump? Labda useme kama Putin au Netanyau.

Putin hazunguki kokote. Netanyau analindwa na Trump
Nilitaka kusema putin na neta,

Wote hao wanaenda nchi ambazo hazijasaini icc , mataifa makubwa mengi hayajasaini wanakwambia inaingilia uhuru wa mahakama zao 😁 ,
 
Back
Top Bottom