Mpendagiza
Member
- Nov 20, 2010
- 36
- 0
hizi ni aibu kwa CCM na serikali kwa ujumla
Breaking News Radio One sasa hivi saa saba na dakika 41.
Kuna tetesi pia huenda Kikwete naye akajiuzulu! hahahahahh
AlinachaKuna tetesi pia huenda Kikwete naye akajiuzulu! hahahahahh
Mkuu, bila shaka una maana ya 'resignations.' Hata hivyo nakubaliana nawe.
Habari za kuaminika muda mchache uliopita aliyekuwa Naibu Meya Arusha AMEJIUZULU. More News to follow na tunasubiri "tetesi" Meya mwenyewe atoe kauli ingawaje yeye ni mbuzi wa kafara labda itachuku siku nyingine tatu mpka tano kutoa tamko..
Then I think RPC, IGP to follow before president.....