samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 215
Nampongeza kwa uamuzi wa busara aliouchukua najua yeye alirubuniwa na CCM na sasa ametambua kwamba alikosea kukubaliana na hila za CCM. Nashangaa kuona huyo meya mwenyewe yuko "confortable" ameridhika na hali ilivyo arusha pamoja na watu kupoteza maisha kutokana na uchaguzi batili uliomuweka madarakani yeye bado anajiona kiongozi halali. Jamaa kweli ana roho ngumu maana dhamira yake hata haimsuti kwa uroho wa madaraka.