Nahitaki pumba Dar es Salaam kwa bei poa

The 0ne

Member
Sep 5, 2021
37
35
Wapedwa katika bwana.

Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
 
Hivi bei nzuri ndio bei gani?
Mahindi na hata mpunga vyote vina pumba pia.
Tujifunze namna bora ya uandishi ili kupata utatuzi mapema!
 
Nenda manzese mashineni na pale bei zanpanda na kushuka kulingana na uhitaji wa unga ,yaani wakisaga sana pumba inapungua bei hivyo yaani
 
Wapedwa katika bwana.

Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
Kwa Bei rahisi sana pumba zinapatikana hapa maeneo ya kipati stand stand
 
Wapedwa katika bwana.

Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
Fika Tandale kwenye mashine za kusaga utapata kwa bei nzuri na kigamboni pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom