Mahanadi nataka za kulisha tu kuku wangu na nguruwePumba ya mahindi au mpunga? Unahitaji tani ngp kwa kuanzia?
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Huko ndio panafaa maana hapa nimeuliza karibu karibu wana sema bei 18000 jumlaNenda mwembe yanga pale kuna kiwanda kidogo, gunia ni 15,000/-
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Sawa. Sema za mashineni zinaoza haraka
Kwa Bei rahisi sana pumba zinapatikana hapa maeneo ya kipati stand standWapedwa katika bwana.
Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
Nahitaji tani kumiKwa Bei rahisi sana pumba zinapatikana hapa maeneo ya kipati stand stand
Fika Tandale kwenye mashine za kusaga utapata kwa bei nzuri na kigamboni piaWapedwa katika bwana.
Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.