Nahitaji vijana 50 kubandika bango mjini DSM.

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,209
Reaction score
27,975
Asee wakuu kwema?

Kijana abandoned bango 100, kila bango 1 shilingi za kitanzania 800. Bandika bango 100 uchukue 80000 mzee mambo yasiwe mengi..

Kazi inataka watu wa dar wenye ari na nguvu na uhitaji wa kazi.

Tunapendelea kufanya kazi na wa kiume zaidi. Kazi itaanza jumatatu na mwisho wa kuomba ni jumamosi ya tarehe 2 jioni.

Grup la wasap lipo. Nicheki 0628731833

Hakikisha una simu ya smartphone.

Kalaga baho.
 
Ukifika huku Kijijin kwetu ntakuja ni hapa chalinze mzee
 
Aione Lucas Mwashambwa
mihapase
Shotocan
Mtoto wa Shule
 
Jiungen chap nahitaj watu 50 tu mpaka sasa nwamebaki 35. Ikitokea umekosa bas inshalla iitokea nyingine nitasema hapa. Kazi hii bure kabisa sitaki mia ya mtu
Kuna mtu yupo huko ila ana simu mdogo kwenye Whatsapp itakuwaje,
 
Makutano leo saa 4 asubuhi Sinza LION, mkabala na Kanisa katoliki. Ukifika hapo kuna mtu atakupokea 0767 792 503

Leo mchakato ni kusajiliwa na maongezi yote kuhusu kazi. Kesho kazi inaanza
 
Waombaji wahakikishe kuna maandishi kusiwe na kukimbiana baada ya kazi.
Hakuna kudhulumiwa, hii kazi sio ndogo ni y kampuni ya simu. Hakuna utapeli wala hakuna udalali. Yoyote atakaekutana na changamoto ya kutolipwa ataisema hapahapa.

Zoezi la kubandika bango 100 kwa siku sio dogo, tunafaham ugumu wake ndio mana tunathamini utendaj wake kazi wa mtu
 
Waombaji wahakikishe kuna maandishi kusiwe na kukimbiana baada ya kazi.
Yani kiufupi hakuna haja ya kutangaz utapeli mitandaoni, tunajua tunachokifanya na kampuni tunayofanya nayo kazi ndio hii uliyolipia bando wewe au jirani yako hapo nje
 
Mimi nawaleta vijana hapo je mode ya malipo ipoje ? Na nikisema vijana wachukue 700 Mimi nibaki na 100 kuna ubaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…