Tafta uhamisho nenda mkoa mwingine kafanye kazi uoe mwanamke mwingine maisha yaendelee ila usisahau karma is a bitchmwanzoni tulikuwa tunashirikishana sana, sasa kipindi hiki sina hamu ya kuongelea mambo hayo. Isitoshe nimeajiriwa kijijini, yeye ni mzawa wa huku. Kilichonifanya nifikirie ni wivu ni kwamba wakati wa kuanza mahusiano nilipata wapinzani wengi mkuu
Anaweza oa na asipate vile vile...Chezea Mungu akitaka kukudhalilishaMpe redcard oa mwingine upate mtoto maana kuvunja amri ya 6 ni dhambi kisha utakwenda kumrudia tena. Utakosa mtu wa kurithi mali zako ndugu yangu Fanya hima umri unakuacha hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nilitaka kufanya kuna mtu alinishauri kukimbia ni dalili ya uoga.Tafta uhamisho nenda mkoa mwingine kafanye kazi uoe mwanamke mwingine maisha yaendelee ila usisahau karma is a bitch
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo unataka kuwa na watoto nje ya ndoa??? Je unajuaje kuwa unapiga sana huko nje then shahawa unazommwagia mkeo zinakuwa hazina nguvu/hazija komaa? Pia ktk maandalizi ya mtoto yatakiwa nyote mjiandae, ulaji, kutokuwa na stress wewe wala mkeo n.knina uhakika nipo safi, tatizo ni lake. Uaminifu wangu ndo unanifanya nisiwe na watoto wengine nje ya ndoa
Sasa kama ni mkristo unadhani maandiko yako yana excuse. Si umeapa wewe kuwa ni SHIDA NA RAHA HADI KIFO KIWATENGANISHE au ulipoapa ulikuwa hujui maana ya SHIDA mwalimu? Heshima yako ni kumcha Mungu au maandiko gani yanasema ni watoto. Na kukuzeekea ni hoja ya kipumbavu maana kila mmoja ndio njia yake hiyo na wewe pia unamzeekea.Habari zenu watu wa Mungu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, naishi mkoa wa Arusha wilaya (mabano). Ni mwalimu wa sekondary, nilioa miaka kadhaa iliyopita na bahati mbaya mpaka sasa mke wangu hajafanikiwa kupata mtoto.
Nimetafuta namna nyingi za matibabu sijafanikiwa. Mbaya zaidi mke wangu nionavyo mimi kuna kitu anakijua ndani ya hili tatizo. Kuna watu walishawahi kuniambia kabla kuwa hana uzazi na haitatokea azae, ila niliona ni wivu tu.
Pia waliniambia kuwa amenidanganya vitu vingi ambavyo siwezi kuweka wazi. Kutokana na hali hii saivi mke wangu hana amani na hata sura yake imeanza kuchoka. Ninachojiuliza kwanini nilime na nisipate mazao miaka mingi?
Nahisi kukata tamaa, na huyu mwanamke anajulikana kama nini kijijini kwetu. Amenifanya nisipate mwanamke mwingine, kila nikijaribu nahisi atajua.
Naombeni ushauri, mimi mkristo mshika maadili na naheshimika kanisani. Huyu mwanamke ameanza kunizeekea na saivi sina hata mtoto wa kusingiziwa kutokana na uaminifu wangu. Naona wenzangu waliooa juzi tu wanapata watoto, mimi naumia tu.
Nifanyeje nipate watoto na heshima yangu iendelee kuwepo?
Nendeni mkaombewe mkuuHabari zenu watu wa Mungu,

Habari zenu watu wa Mungu,

Jamani....sasa azae na nani Binti?anyway nisamehe buuuure!?
Well...jee wewe Una kizazi?samahani lakini.
....Kwani beki 3 si mtu? Au ndo yale yale ya konda kumuambia Traffic nimebeba abiria 20 na mmasai mmoja!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa Mungu yupo bize na hamsha hamsha za Tanga za bomba la mafuta!muombe Mungu kaka atakusaidia
sabab ulimpenda tokea mwanzo
na alikwambia alikua na shida
sent from aifoni seveni plasi