Nahitaji sofa kama hizi

Nahitaji sofa kama hizi

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,136
Reaction score
12,861
Waungwana, mwenye kufahamu wapi naweza pata sofa za namna hii naomba anielekeze,, nimezipenda!
2.JPG
 
Si wangekalia busati tu!
Waungwana, mwenye kufahamu wapi naweza pata sofa za namna hii naomba anielekeze,, nimezipenda!<br />
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=37401&amp;stc=1" attachmentid="37401" alt="" id="vbattach_37401" class="previewthumb" />
<br />
<br />
 
wasiliana na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu, watakupa details zote
 
Hivyo hakuna Great thinker hata mmoja mwenye data zinzaojitosheleza wapi naweza zipata?
Tatizo sina access na Ikulu wajameni, najua ningepata maelekezo mujarabu pale🙁
 
tunaogopa labda huna noti za kutosha mwee...............................
 
Usibabaishwe na kung'ara...hayo ni ma plastic na wala si ya mchina....hayo ni keko wameumba umba ndani utakuta masponge mabovu...ngoja aachie ngazi ya urais utayakuta mnadani laki mbili.
 
Subiri Dokta wa Ukweli aingie hapo, hizo Sofa tutazigawa kwa wapiga kura wanaoziitaji, kwa vile nawe unazitaka jiandae: tunataka Office Chairs za mti wa Mninga au Mpodo ndo ziingie hapo.
 
Back
Top Bottom