Nahitaji sofa kama hizi

Hivyo hakuna Great thinker hata mmoja mwenye data zinzaojitosheleza wapi naweza zipata?
Tatizo sina access na Ikulu wajameni, najua ningepata maelekezo mujarabu pale:(

Nenda Keko pale utachongewa hivyo hivyo
 
Hawa jamaa wa airport wameshindwa hata kutafuta interior designer...sofas za silver na red carpet!!!
 
Jaribu kusearch Italian or French sofas.Lakini bei zake zinakuwa kama hivi:
Silver Sofa $3,349.09 <INPUT id=pieces[31823] value=0 type=text name=pieces[31823]>

Marble Top Coffee Table $2,814.09 <INPUT id=pieces[31824] value=0 type=text name=pieces[31824]>

Silver Chair $1,744.09 <INPUT id=pieces[31602] value=0 type=text name=pieces[31602]>

Marble Top End Table $1,390.99 <INPUT id=pieces[31603] value=0 type=text name=pieces[31603]>

Silver Loveseat $2,567.98 <INPUT id=pieces[31604] value=0 type=text name=pieces[31604]>

<TBODY>
</TBODY>
 
Hizo huziwezi kamuone mweka hazina wa Ikulu ndio utakimbia au ukazimia kama hujapoteza uhai wako bei yake inakaribia nusu bajeti ya wizara fulani Zimbabw!!! natania tu
 
Jaribu kusearch Italian or French sofas.Lakini bei zake zinakuwa kama hivi:
Silver Sofa $3,349.09<input id="pieces[31823]" value="0" type="text" name="pieces[31823]">
Marble Top Coffee Table$2,814.09<input id="pieces[31824]" value="0" type="text" name="pieces[31824]">
Silver Chair$1,744.09<input id="pieces[31602]" value="0" type="text" name="pieces[31602]">
Marble Top End Table$1,390.99<input id="pieces[31603]" value="0" type="text" name="pieces[31603]">
Silver Loveseat$2,567.98<input id="pieces[31604]" value="0" type="text" name="pieces[31604]">

<tbody>
</tbody>

hizo bei sio mkuu kama adhabu
si bora kuchukua kitu cha maana kwenye maduka ya kueleweka
 
Hivyo hakuna Great thinker hata mmoja mwenye data zinzaojitosheleza wapi naweza zipata?
Tatizo sina access na Ikulu wajameni, najua ningepata maelekezo mujarabu pale:(

Mkuu kama kweli umependa mandhari hayo, na pesa si kikwazo katika manunuzi yako ya thamani nakushauri uwasiliane na wataalamu wa designing na mipangilio ya ndani; Samani hazinunuliwi ati kwa sababu umezipenda tu machoni,unazipenda pale zinapokuwa ktk mazingira endani: aina na rangi za samani zitegemee na design, na finishing ya ndani kwako; Kuna watu abao wamesomea kazi hiyo!
 
wasiliana na albawardy huko falme za kiarabu.
lakini thamani yake ni kilomita za mraba 20 kwa 20 pale ngorongoro babako anaubavu?
 
Back
Top Bottom