Wakuu, poleni na majukumu.
Naomba msaada wa taarifa. Nina fedha za Ivory Coast (CFA Francs) na kwa sasa nipo Dar es Salaam. Nimejaribu kuzunguka katika benki mbalimbali pamoja na Bureau de Change kadhaa lakini sijafanikiwa kupata sehemu inayobadilisha sarafu hiyo.
Naomba mwenye kufahamu benki, Bureau de Change au taasisi yoyote inayobadilisha CFA Francs anielekeze au anipe mawasiliano husika.
Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Ahsanteni.