Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

Mkuu kupigwa sio kirahisi maana naona watu wananyapianyapia kibunda changu kwa mbaliii nawazoom tu😀😁
Mkuu usiseme hivyo, matapeli yana mbinu za hatari sana! Hata mimi nilikuwa nasema hivyo hivyo mwisho wa siku nikaanguka kipumbavu kabisa na tangu siku hiyo nikajiapiza siku nakuta wakulungwa wanamwadhibu tapeli lazima niweke mkono wangu hapo!
 
Wewe umefungua uzi ili upate tu LIKES na comments. Acha utoto
Mkuu tuheshimiane nitake radhi kwa kuniita mtoto, lengo la uzi ni kusaidiwa na sio kutaka likes ya mtu yoyote.

Sio lazima kila mada uchangie acha utoto bwege wewe!
 
Kwanini uwatumie vishoka
Kwanini usikamilishe nyaraka
Zako zote zinazohitajika uhamiaji
Kwa ajili ya application ya port
Mbona nyie hamjiamini

Ova
Wewe mrangi mbona unakua mjinga hivi?

Unakua mxenge hivi halafu unajidai mtoto wa Kino Mango Garden?

Ukisema ufate process zote kawaida inachukua siku 14 za kazi, passport inatoka.

Haya, je kama una safari ya ghafla ndani ya siku chache zijazo na hukua na passport kama mdau alivosema?

Na bado unatakiwa uende kufatilia visa. Utasubiri siku 14 kisa unajiamini?

What the fuc*k man.
 
Kwamba ni kishoka wa passpot..
Je, mfumo wa passport unaukishoka?!
Hauna Ila mjini hapa ukimjua mtu suala lako likakua na wepesi kidogo,muda wote huo kama anatafuta Visa na wakati hela anayo??bro au wewe upo Norway??huku mbagala Hadi barua ya mwenyekiti wa mtaa Kama huna buku mbili bado utasubiri Sana..

Ni utaratibu mbaya Ila ndio tupo huko Kama taifa.toa hela kama una haraka na haki yako..
 
Wewe mrangi mbona unakua mjinga hivi?

Unakua mxenge hivi halafu unajidai mtoto wa Kino Mango Garden?

Ukisema ufate process zote kawaida inachukua siku 14 za kazi, passport inatoka.

Haya, je kama una safari ya ghafla ndani ya siku chache zijazo na hukua na passport kama mdau alivosema?

Na bado unatakiwa uende kufatilia visa. Utasubiri siku 14 kisa unajiamini?

What the fuc*k man.
Bora umemwambia mkuu, utaratibu ndo upo hivyo hata mimi nafahamu wakitaka kukuzuga watakwambia siku 10 lakini ni siku 14, sasa mtu unataka kuharakisha mambo unafanyaje??
 
Bora umemwambia mkuu, utaratibu ndo upo hivyo hata mimi nafahamu wakitaka kukuzuga watakwambia siku 10 lakini ni siku 14, sasa mtu unataka kuharakisha mambo unafanyaje??
Watu wanafuata hizo taratibu na wanasubiri passport miezi 6 na hawazipati.
 
nimeshangaa siku 14 😀
Si watanzania wangeenda kugombania, ukienda pale wizara ya mambo ya ndani utakuta kuna watu wanadai passport mpaka zile risiti zimefutika kila kitu wanaandikiwa majina kwa kalamu, na wanasimama jua kali nje kwa masaa kadhaa na mwisho unaambiwa njoo wiki ijayo na hapo mtu tangu mwaka jana hajapata.
 
Wakuu wasalaamu!!

Kama kichwa kinavyojieleza nimepata safari ya haraka sana, sasa nimepitia nyuzi mbalimbali kuhusu kuchelewa kwa passport na usumbufu uliopo uhamiaji hasa ukiwa mkoani.

Ipo hivi nilianza kufatilia passport mwanzoni mwa mwezi wa 3 nikiwa mkoa A lakini cha ajabu nilikuwa nikienda ni mwendo wa kuzungushwa tu mara mtandao unasumbua, mara njoo kesho tuangalie, nikajaza fomu lakini wapi naishiwa kuambiwa subiri wiki ijayo.

Nina safari mwezi wa 5 tarehe moja na mdhamini wangu amechachamaa kwelikweli ananiona mzugaji tu.

Sasa nimeamua niende Dar nikafanyie process zote palepale Uhamiaji Kurasini, hivyo naomba msaada kwa mwenye namba za mtu mjanja anayeweza kunifanyia mchakato nikapata passport ya express ndani ya siku moja au mbili niwe nimeipata bila usumbufu maana nimemuandalia posho yake kabisa.

Cc Mshana Jr
Isanga family
[USER=30674]kalaga Baho
Nongwa
ZEE LA JIJI
Evelyn Salt
Smart911
[USER=127896]mwashamba
Njoo inbox kutaja Ruswarp hadharani ni kosa la jinai
 
Passport nahitaji siku ya jumanne mapema sana maana nina utaratibu wa kuomba visa ya ulaya hivyo kama unajijua wewe ni mzugaji pita mbali tusije kuharibiana siku!
Mkuu Mimi nakusaidia kwa laki 2 tu tunaenda wote pale kurasini tena kwa PCO wa uhamiaji
 
Si watanzania wangeenda kugombania, ukienda pale wizara ya mambo ya ndani utakuta kuna watu wanadai passport mpaka zile risiti zimefutika kila kitu wanaandikiwa majina kwa kalamu, na wanasimama jua kali nje kwa masaa kadhaa na mwisho unaambiwa njoo wiki ijayo na hapo mtu tangu mwaka jana hajapata.
Mkuu mbona unanitisha sana!!
 
Back
Top Bottom