sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,175
- 7,124
Wakuu nahisi mwaka ujao nitaanza kupata safari za nnje sasa,nahitaji passport mapema japo sina haraka nayo sana.Naomba mnisaidie maswali haya kujaza kwenye form
1 sababu ya kuhitaji passort mana sina safari yoyote,sijapata mualiko wowote ila nataka kuwa nayo tu
2 cheti vya kuzaliwa vya wazazi sina
3 cheti changu cha kuzaliwa photocopy inatosha? au watataka nipeleke original
4 kitambulisho changu cha kupigia kula kinatofautiana tarehe ya kuzaliwa na cheti cha kuzaliwa.
Karibuni wakuu