Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

Mkuu angalizo tu, usimtumie mtu pesa wala kumpa kabla hujaishika hiyo pass mkononi, zingatia hilo, la sivyo utatapeliwa sasa hivi!
Hilo nalijua vizuri, na nipo makini kwa wale wenye nia ya kunitapeli.
 
Kama Una leseni ya Udereva, Nenda Kaombe passport Sema wewe ni DEREVA Wa IT. Utapata haraka bila kuambatanisha kielelezo vingi vya hitaji la passport yako. Na maswali yatakuwa mchache
 
Mbona Jambo la Passport halihitaji ujanja nenda ukawaeleze tu kuwa unashida nayo haraka Watakusaidia unapata Mapema.!
 
Mbona Jambo la Passport halihitaji ujanja nenda ukawaeleze tu kuwa unashida nayo haraka Watakusaidia unapata Mapema.!
yes, akiwaeleza tu watamzingatia na atapata haraka, tena akiwa na taarifa za kua aliomba mda mrefu ila anazungushwa hadi safari inakaribia watamfanyia haraka
 
Hajui tu, yaani kama ndo umeipania hiyo safari usiombe ukutane na huo usumbufu kibaya zaidi kila ukienda uwe na hela! 😁
Kama hujafanikiwa njoo PM usiahirishe hiyo safari siku 13 ni nyingi sana kufanya mabadiliko.
 
nalo neno, na ni vile ukiritimba unafumbiwa macho na serikali, ila akienda pale na taarifa kamili anasaidika vizuri tu
Unajua kuwa ukiwa umejaza docs zote na ukawahi unapewa pass yako siku hiyo hiyo?
Lakini watu wanasumbuliwa hadi miezi
 
Wakuu wasalaamu!!

Kama kichwa kinavyojieleza nimepata safari ya haraka sana, sasa nimepitia nyuzi mbalimbali kuhusu kuchelewa kwa passport na usumbufu uliopo uhamiaji hasa ukiwa mkoani.

Ipo hivi nilianza kufatilia passport mwanzoni mwa mwezi wa 3 nikiwa mkoa A lakini cha ajabu nilikuwa nikienda ni mwendo wa kuzungushwa tu mara mtandao unasumbua, mara njoo kesho tuangalie, nikajaza fomu lakini wapi naishiwa kuambiwa subiri wiki ijayo.

Nina safari mwezi wa 5 tarehe moja na mdhamini wangu amechachamaa kwelikweli ananiona mzugaji tu.

Sasa nimeamua niende Dar nikafanyie process zote palepale Uhamiaji Kurasini, hivyo naomba msaada kwa mwenye namba za mtu mjanja anayeweza kunifanyia mchakato nikapata passport ya express ndani ya siku moja au mbili niwe nimeipata bila usumbufu maana nimemuandalia posho yake kabisa.

Cc Mshana Jr
Isanga family
[USER=30674]kalaga Baho
Nongwa
ZEE LA JIJI
Evelyn Salt
Smart911
[USER=127896]mwashamba
Li Lucas Mwashambwa ni andazi hapo liondoe! Pia angalia usije tukapigwa! Kwenye hiyo orodha labda wa kumwamini ni Mshana Jr.
 
Li Lucas Mwashambwa ni andazi hapo liondoe! Pia angalia usije tukapigwa! Kwenye hiyo orodha labda wa kumwamini ni Mshana Jr
Mkuu kupigwa sio kirahisi maana naona watu wananyapianyapia kibunda changu kwa mbaliii nawazoom tu😀😁
 
Back
Top Bottom