Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

Wangekuwa maafisa nisingewaita vishoka!
Basi hao sina muda nao, nina baadhi ya maafisa wa hapa mkoani ila nao nimeona ni miyeyusho tu nataka waliopo Dar nimalizane nao kiutu uzima mkuu!
 
Basi hao sina muda nao, nina baadhi ya maafisa wa hapa mkoani ila nao nimeona ni miyeyusho tu nataka waliopo Dar nimalizane nao kiutu uzima mkuu!
Kwanini unafanyia jambo serious mitandaoni kwanini usiende office husika wakupe taratibu ambazo natumai zitakuwa za kiofisi!. Inaonekana wewe ndio unatengeneza mazingira hayo ya tip over
 
Huwez kupata siku hiyo hiyo, passport hata kupitia kwa vishoka ni process. Minimum ni two mpaka three days
Nipe muongozo mkuu kama una mtu wa uhamiaji anayeweza kukamilisha hili swala mapema nakuja PM.
 
Kwanini unafanyia jambo serious mitandaoni kwanini usiende office husika wakupe taratibu ambazo natumai zitakuwa za kiofisi!. Inaonekana wewe ndio unatengeneza mazingira hayo ya tip over
Huku naamini kuna watu wamepitia hizo changamoto na wanajua namna walivyozitatua, lakini sio kwamba sijafika ofisi za uhamiaji nimefika lakini nilichokiona ni kwamba passport nitaipata kwa kuchelewa sana alafu hata lengo la safari husika lisifanikiwe.
 
Nenda kurasini fuata utaratibu,jieleze kwa unyeyekevu,usiwe na presha,kama ni mwanamke mwambie Dada au Mama naomba unisaidie,maongezi yataendelea vizuri ukionyesha nia ya kutoa pesa haraka usaidiwe lakini siyo rushwa.
Nimekuelewa sana boss, nitauzingatia ushauri wako makini sana.
 
Nitaipata ndani ya siku ngapi hujanijibu swali langu?
Inategemea maana hapa Kama ukija na viambatanisho vyote ni takujazia form nakuchukua biometric zako na kuzituma makao makuu,then baada ya wiki utapata
 
Mi sina mtu hapa mjini, sema ukiwapata vishoka huko kesho tu unapata passport ilimradi hela ipo.....watakuja wadau pole.
Kwanini uwatumie vishoka
Kwanini usikamilishe nyaraka
Zako zote zinazohitajika uhamiaji
Kwa ajili ya application ya port
Mbona nyie hamjiamini

Ova
 
Inategemea maana hapa Kama ukija na viambatanisho vyote ni takujazia form nakuchukua biometric zako na kuzituma makao makuu,then baada ya wiki utapata
Wewe upo jikoni mtoa mada, Big Nyota komaa na huyu, maelezo mafupi lakini yamenyooka, dar sikushauri hili jiji kila mtu tapeli
 
Kwanini uwatumie vishoka
Kwanini usikamilishe nyaraka
Zako zote zinazohitajika uhamiaji
Kwa ajili ya application ya port
Mbona nyie hamjiamini

Ova
Mkuu ukisema ufate utaratibu unaotakiwa unaweza hata kuikosa hiyo safari uliyopangiwa ukabaki na passport kama pambo.

Hata mimi mwanzoni sikuwa na hayo mawazo ya kutumia watu au kutoa posho lakini nilipofikia akili inanituma hivyo!
 
Back
Top Bottom