Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

Hapa akili imechemka safari ninaitaka, naulizwa kama passport imeshindikana tuhairishe safari mpaka utakapokuwa tayari nashindwa nijibu nini nabaki kujing'ata yaani hii nchi ngumu sana aisee!
 
Kwanini uwatumie vishoka
Kwanini usikamilishe nyaraka
Zako zote zinazohitajika uhamiaji
Kwa ajili ya application ya port
Mbona nyie hamjiamini

Ova
Utazungushwa hadi upate kizunguzungu
 
mimi akija mtu akinambia ukipata passport yako ndo ulipie mi naona Ok hata 500k nampa
Mkuu lakini ujue vipato tumetofautiana wengine hiyo 500k unapata ng'ombe wawili kule kijijini kwetu.
 
Wakuu wasalaamu!!

Kama kichwa kinavyojieleza nimepata safari ya haraka sana, sasa nimepitia nyuzi mbalimbali kuhusu kuchelewa kwa passport na usumbufu uliopo uhamiaji hasa ukiwa mkoani.

Ipo hivi nilianza kufatilia passport mwanzoni mwa mwezi wa 3 nikiwa mkoa A lakini cha ajabu nilikuwa nikienda ni mwendo wa kuzungushwa tu mara mtandao unasumbua, mara njoo kesho tuangalie, nikajaza fomu lakini wapi naishiwa kuambiwa subiri wiki ijayo.

Nina safari mwezi wa 5 tarehe moja na mdhamini wangu amechachamaa kwelikweli ananiona mzugaji tu.

Sasa nimeamua niende Dar nikafanyie process zote palepale Uhamiaji Kurasini, hivyo naomba msaada kwa mwenye namba za mtu mjanja anayeweza kunifanyia mchakato nikapata passport ya express ndani ya siku moja au mbili niwe nimeipata bila usumbufu maana nimemuandalia posho yake kabisa.

Cc Mshana Jr
IsangaJr
[USER=30674]kalaga Baho
Nongwa
ZEE LA JIJI
Evelyn Salt
Smart911
[USER=127896]mwashamba
Marehemu Said Mwamba Kizota a.k.a Baba Tosha angekuwepo duniani angekusaidia kuipata tena kwa muda mfupi tu.

Sitaki Swali lolote tafadhali.
 
Wakuu wasalaamu!!

Kama kichwa kinavyojieleza nimepata safari ya haraka sana, sasa nimepitia nyuzi mbalimbali kuhusu kuchelewa kwa passport na usumbufu uliopo uhamiaji hasa ukiwa mkoani.

Ipo hivi nilianza kufatilia passport mwanzoni mwa mwezi wa 3 nikiwa mkoa A lakini cha ajabu nilikuwa nikienda ni mwendo wa kuzungushwa tu mara mtandao unasumbua, mara njoo kesho tuangalie, nikajaza fomu lakini wapi naishiwa kuambiwa subiri wiki ijayo.

Nina safari mwezi wa 5 tarehe moja na mdhamini wangu amechachamaa kwelikweli ananiona mzugaji tu.

Sasa nimeamua niende Dar nikafanyie process zote palepale Uhamiaji Kurasini, hivyo naomba msaada kwa mwenye namba za mtu mjanja anayeweza kunifanyia mchakato nikapata passport ya express ndani ya siku moja au mbili niwe nimeipata bila usumbufu maana nimemuandalia posho yake kabisa.

Cc Mshana Jr
IsangaJr
[USER=30674]kalaga Baho
Nongwa
ZEE LA JIJI
Evelyn Salt
Smart911
[USER=127896]mwashamba
Unaweza kuniona
 
Nenda office za uhamiaji na barua ya dhumuni la safari,na nyaraka zinginezo huku utakutana na vishoka tu mwisho wakutapeli pesa zako
fanya hivi utapata haraka tu , achana na vishoka watakuliza
 
Basi hao sina muda nao, nina baadhi ya maafisa wa hapa mkoani ila nao nimeona ni miyeyusho tu nataka waliopo Dar nimalizane nao kiutu uzima mkuu!
nenda pale pale makao makuu dar utasaidika haraka tu usijari
 
Back
Top Bottom