Nahitaji mwanamke mwembamba aliyenyooka

Nahitaji mwanamke mwembamba aliyenyooka

Ujua hamnaga mwembamba wa kudumu ndo tatizo, so akija kupiga mitori kadhaa tu na biere mbalimbali utashangaa anakuwa wa mviringo ndani ya mwaka au miwili unarudi kulekule! Unamchinjia baharini?
 
Kuongezeka mwili ni sawa ila kwa wanawake wembamba wao wanakuaga tofauti ni hips pekee yake ndio zinaongezeka ila Sehemu nyingine za mwili zinabakia kuwa vile vile
 
wanakua wa mviringo kama pipa...
 
Mkuu unavosema alinyooka unamaanisha nini 😄😄?
 
Ukishakuwa mwembamba, automatic unakuwa umenyooka mana Huna nyama nyama za kupindisha mwili 😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom