Wakuu,
Mimi ni me miaka 24,natafuta mwanamke bikra wa kuoa umri ni kati ya miaka 18 hadi 21,kwa yeyote aliye tayari au anamfahamu bikra huyu anicheck pm
Natanguliza shukrani.
Miaka 18 si mwanafunzi shekheasijue wakati nimeweka kigezo cha miaka kuanzia 18
Miaka 18 ashamaliza o-level. Sio wanawake wote huwa wanaenda a-level au chuo. Wapo wengi sana wanaishia std 7 na form 4Miaka 18 si mwanafunzi shekhe