Nahitaji mwanamke mwembamba aliyenyooka

Nahitaji mwanamke mwembamba aliyenyooka

Pisi nyembamba zikipata diet inayoeleweka yale mafuta yanaenda kukaa mapajani na makalioni,wanakuwa kama twiga
Me kuna pisi kipindi cha nyuma nilikua na date nayo ilikua nyembamba sana baadae ikaanza kunawili akawa na shape alikuja kuniacha akaama akaenda daslam

Cha kushangaza sasa hivi ameludi amekua kama mbao za lenta ananiletea shobo anaboa sana
 
Ahaha msamehe bure tu, mwanamke mwembamba mwenye kiuno anapitia changamoto sana sababu anavutiabure itakua alipitia stress akapungua

Msamehe bure tu, mwanamke mwembaba mwenye kiuno anapitia changamoto nyingi sana za kusumbuliwa,mwili ulirudi hali ya zamani itakua labda alikutana na stress
 
Hamjambo

Binafsi nina ombi nalileta kwenu,natafuta mwanamke mwembamba haijalishi umri,rangi,tabia au kabila.Kwa upande wangu nipo sawa umri wangu nipo stage ya tatu.

Kama yupo humu ndani au kuna mdau yeyote anamfahamu mwanamke mwenye sifa tajwa DM yangu ipo wazi.

Asante
Kwa sababu hujataja umri yupo bibi yangu now ana miaka 81 tu anasifa zote ulizo finish hapo juu. Na zama Dm mkuu niwa connect maana mimi ndo nitakuwa kila kitu kwenye maongezi yenu bibi hajui kutumia simu kabisa.

NB : Ni mjane kabisa kwa hiyo upo huru
 
Mtaani wapo ,ila nikipata anaetokea hapa au anaifahamu Jf huyu hata uelewa wa mambo ni mkubwa kuliko wa mtaani
Hakunaga mtu anayeishi online.

Waliopo humu ndio hao hao wa mtaani.
Wa mtaani pia ndio hao hao wenye akaunti humu JF.

Kama unataka awe anaifahamu JF, basi ukipata yeyote huko ulipo, anza kumfundisha maneno mawili tu ambayo ni MKUU na UZI, (hizo ndo keywords za wana JF)

Hata mkitaka kulala umwambie, "Mkuu, naomba tuanzishe uzi wa kulala"
 
Ahaha msamehe bure tu, mwanamke mwembamba mwenye kiuno anapitia changamoto sana sababu anavutiabure itakua alipitia stress akapungua

Msamehe bure tu, mwanamke mwembaba mwenye kiuno anapitia changamoto nyingi sana za kusumbuliwa,mwili ulirudi hali ya zamani itakua labda alikutana na stress
Comments zako zinaonesha una uzoefu na wanawake wembamba
 
6c286a9c-4b31-48d1-9b8d-295cc0a1378f.jpeg
 
Nilipataga kidada kimemyoka km rula dizain ya spko 2lia ebwana acha kabisa Mungu hakunyimi vyote yule dada alikua na tunda tamu yaan acha kabisa yaan niliona naweza tangaza ndoa ya pili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom