figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,921
- 63,639
habari zenu wakuu.naomba nitumie nafasi hii kuomba mwana mmu makini niweze kumtuma kwa obsesd. nahitaji mtu mwenyewe awe great thinker na mwenye uzoefu na mapenzi ambaye anajua mitego mbalimbali wanayo tumia madada kuwahadaa makaka. naomba ajitolee kwa moyo wake wote kwa lengo la kunisaidia mimi kupeleka UJUMBE. na awe tayari kufikisha ujumbe ntakao mtuma bila kuongeza wala kupunguza neno. naomba ajitokeze. ntakacho mtuma itakuwa siri. MUNGU AMUBARIKI SANA OBSESD. Mia