nahitaji mwana mmu makini wa kumtuma kwa obsesd

kumbe zile kelele zote ooh! nifundisheni maujanja ya kutongoza ilikuwa ni ajili ya!
hongera sana bana maadam umefunguka na imani naye amekusoma.mia
 
big sisy yan unataka kbs kuniweka hapo kwa mzee wa totoz???mia.

mkuu huoni kama unanionea? usisikilize maneno ya wazushi ambao hawapendi kuona meli yetu ikisonga. Mia
 
Figganigga! Hapo mbona biashara anyauu! Hiyo comment yake hapo yaonesha kabisaa ashatebwereka! Anaumauma kucha! Mijicho tuumbu chini , mara achorechore ardhi kwa dole gumba la mguu! Teepeteepe! Hongera ngoma yako hiyo! Laiyyniii !
 
lol usiusemee moyo bana, labda kaingia kwa mind yangu 2 ila kwa moyo badoo mkuu.
 
I'll be your courier.

hapana mkuu. wewe nikikutuma utaenda kujizungumzia. naogopa. wewe ukienda jiwakilishe tu. tunaweza kukaa wote tunapiga kahawa, mvinyo tunaweza shauliana mambo mengine lakini sio kukutuma kwa huyu mrembo. Mia
 
lol usiusemee moyo bana, labda kaingia kwa mind yangu 2 ila kwa moyo badoo mkuu.

Haya basi! Mwaegoo! Mhurumie basi, nilikua naongeanae kwa call recently analiia kwa ajili yako! Wasemaje ?
 
Figganigga! Hapo mbona biashara anyauu! Hiyo comment yake hapo yaonesha kabisaa ashatebwereka! Anaumauma kucha! Mijicho tuumbu chini , mara achorechore ardhi kwa dole gumba la mguu! Teepeteepe! Hongera ngoma yako hiyo! Laiyyniii !

usione hivyo. ana majibu huyo!. akikujibu unaweza kaa chini ulie. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom