Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu

Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu

Hapana mkuu watu watamsaidia tu
Wengine bado hawajauona huu uzi
Pia wengine muda huu mifuko mikavu

Mimi mwenyewe bado sijamchangia mkuu ila lazima nitafanya hivyo
Mkuu usihofu ,maana mm mwenyewe tu,aliye ktk avatar yangu ana ziara mji ninao kaa ,watu wako busy,ila bandiko lako na mdau RRONDO lilinigusa ikabidi nifanye lilofanyika,ila nikitulia hope nitaongeza tena kdg
 
Back
Top Bottom