AhsanteUbarikiwe na Bwana ghalani mwako usipungukiwe![]()
![]()
![]()
Pamoja MkuuNafarijika mnavyowakilisha vyema team ya lile jukwaa maana matatizo huwa hayazoeleki
Mkuu unasema unawaombea watu Hao ili MUNGU awasamehe dhambi zao??!!!!. Unataka Kusema wanaokumbwa na Kadhia za Magonjwa km hayo huwa ni Wadhambi??.Nakupa pole na pia nikujulishe kuwa mimi huwa nipatapo nafasi uombea wagonjwa wote ambao Hupitia majaribu ila huwa ni mitihani tu huwa nawaombea Mungu awasamehe dhambi zao nankuwaponya tafahdl tutakuombea pili kuwa waz mimi naisi maradhi yako sio ya kutibiwa hospital kwa hishu pingili plz kuna mitishamba inatibu kabsa mkuu.
Ndugu mimi nmetuma kamchango kadgo tyr vipi na ww umetuma au unatfta mijadara kwny afya za wanadamu wenzako mimi nilitegemea nikute umekoti unanipongeza kwa kuchanga kidgo kumbe unataka mijadara hisiyo na tijaMkuu unasema unawaombea watu Hao ili MUNGU awasamehe dhambi zao??!!!!. Unataka Kusema wanaokumbwa na Kadhia za Magonjwa km hayo huwa ni Wadhambi??.
asante mkuu.shukraniDuh!! Pole saana aggyjay Allah atakuafu kwa rehema zake inshaallah..
Nikitulia nitakutumi chochote kitu nitakachokuwa nimejaaliwa inshaallah.
Ugua pole ndugu yangu.
asante mkuu.nimeiona nashukuru sanaNmetuma kamchango kadogo dada no inashia 0717_inaishia 27
Tupo pamoja mkuu ntaemdelea kuchanga kwa jinsi ntakavyojaaliwa mkuuasante mkuu.nimeiona nashukuru sana
Pole sana mkuu Mungu akufanyie wepesi na kukuponya nakutumia chochote no yangu ya tigo 0714 inaishia na 15 nakutumia sasa hivinamba zangu ni
0624 108 319 halotel
0710 078 018 tigo
nashindwa kuedit post
Ubarikiwe.Nmetuma kamchango kadogo dada no inashia 0717_inaishia 27
Dah umenigusa.Pole sana mkuu Mungu akufanyie wepesi na kukuponya nakutumia chochote no yangu ya tigo inaishia na 15 nakutumia sasa hivi
Dah umenigusa.
Moyo wako.Kwa nn RRONDO
Moyo wako.
Kiasi fulani jukwaa limetuangusha.Nafarijika mnavyowakilisha vyema team ya lile jukwaa maana matatizo huwa hayazoeleki
Nakazia...🙂🙂🙂Hivyo hivyo kidogo kaka wangu tunasaidiana tulivyonavyo
Pamoja broSafi sana bro