Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 639
- 611
Mpendwa nimetuma kupitia wakala anaitwa Mariam Msangi
Karibu tena, "Imani yako itakuponya"asante.nimewahi kuja lakini kabla ya haya
Mpendwa nimetuma kupitia wakala anaitwa Mariam Msangi
asante mkuu..nashukuruKaribu tena, "Imani yako itakuponya"
Vipi hali yako ndo nona huu uzi leoasante naweka
sijambo mkuuVipi hali yako ndo nona huu uzi leo
Hope michango inaendelea kutolewasijambo mkuu
bado hata 350k sijafika mkuu.tunatafuta njia nyingine ya kufanikisha bima.tukimaliza tutaweka updateHope michango inaendelea kutolewa
Mungu atasaidia ,tuko pamojabado hata 350k sijafika mkuu.tunatafuta njia nyingine ya kufanikisha bima.tukimaliza tutaweka update
Pole sana aggy, nilishasoma sana nyuzi zako kipindi cha nyuma, kwa namna ulivyokuwa mstari wa mbele kupambana kiuchumi kwa kuuliza na kudadisi mambo ya ujasiriamali. kwa kweli nimesikitika sana kwa magumu unayopitia kipindi hiki, pole sana Mungu ataweka mkono wake na kukupa wepesi.sijambo mkuu
asante mkuu..nkifanikiwa ntakitafutaPole sana aggy, nilishasoma sana nyuzi zako kipindi cha nyuma, kwa namna ulivyokuwa mstari wa mbele kupambana kiuchumi kwa kuuliza na kudadisi mambo ya ujasiriamali. kwa kweli nimesikitika sana kwa magumu unayopitia kipindi hiki, pole sana Mungu ataweka mkono wake na kukupa wepesi.
Naomba katika hiyo michango ikiwezekana utafutiwe na hiki kifaa kikusaidie katika tatizo la foot drop bei haizidi 50,000/= kwa mitandaoni.
Ntajitahidi namimi kuchangia chochote kabla mwezi haujaisha.
View attachment 869315View attachment 869316View attachment 869317
Braza jipigepige umsaidie dada yetu......Vipi hali yako ndo nona huu uzi leo
Nitafanya hiki kitu. Ni moja ya nadhiri niliyojiwekea..Braza jipigepige umsaidie dada yetu......
Sawa braza.....Nitafanya hiki kitu. Ni moja ya nadhiri niliyojiwekea..
Ngoja tuone wiki ijayo
asante mkuu kwa mchango.ubarikiwe!Pole sana kwa matatizo, nafikiri bado haujafikia lengo. Nimekutumia kitu kdg kupitia CRDB Mungu akusaidie ushinde jaribu hili.
amina mkuu..Mwenyeezi MUNGU mwingi wa rehema atakufanyia wepesi,ila ni vema ungeweka na namba za simu pesa ili tuweze kukuungiaungia(harambee).
nlitibiwa muhimbili tu.MD ni wengi lakini specialist ni mmoja tu ila haitwi njenje.vipi huyo anapatikana wapi na anaweza kumaliza hili tatizo?Pole kwa kuugua. Ulitibiwa kwa Dokta Njenje?