Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Mungu akubariki mno NN...Kwa sasa niko mbali kidogo lakini hiyo siyo ishu.
Nikipata mtu wa uhakika naweza kumtumia kupitia MoneyGram halafu yeye akamrushia kwa kupitia local money transfer services.....
Nimeshazichukua na kumtumia tayari... Barikiwa sana sana