Pole sana ndugu
fanya yafuatayo
1. achana na mambo ya matamanio ya ngono
2. oa mwanamke ambaye ana umbo la hitaji lako, mpende, mhifadhi na mtunze; kila siku muone mpya.
3. epuka kutengeneza mazingra ya kuonana na huyo mwanamke, mfano akikuhitaji we andaa ratiba zako kama kutembelea jamaa zako, kufanya mazoezi, andaa route ya safari hata town trip (keep yourself busy)
4. epuka kuzaa naye, maana hyo itakuwa tiketi ya kung'ang'aniana.
5. punguza upendo mdogo mdogo, punguza vitu ambavyo ulikuwa ukimtendea.
6. akiwa kinga'sti zaidi mwambie kuwa you are not interested with her.
7.soma vitabu vya imani yako ili kupunguza kufanya uzinzi
"KUWA BUSY KUTAFUTA PESA, HUO UJINGA WOTE UTAISHA"