Nahitaji msaada wa kisaikolojia nimeathirika

Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana.

Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni mreplace na mwanamke mwingine kihisia ili nimalize. Ama sivyo tutakesha. Ye anamaliza vizuri mpaka anachoka. Mimi simalizi sababu sina hisia naye.

Tumbo. Ana tumbo kubwa shape yake nzuri imeharibika. Tumbo lipo mbele na pembeni. Yaani amepoteza mvuto kabisa though sura bado imebaki ni nzuri. Hili jambo limekuwa hivi kwa muda mrefu sana. Mpaka sasa nakwepa hata kuonana naye. Maana hanivutii kabisa.

Kuna mwingine mpaka najaribu kulala naye mara kadhaa but hamna kitu pamoja na kuwa na shape ambayo wengine wanaipenda. Mimi nashindwa sababu ya tumbo lake kubwa limeanguka na maziwa hivyo hivyo napomwona nakosa kabisa hisia naye.

Sasa sielewi hili jambo nliondoe vipi kichwani ili niwe ok napokuwa na mwanamke wa namna hiyo. Coz otherwise naona ni ngumu kabisa ku sex na mwanamke mwenye tumbo kubwa. Hata aweje nashindwa.
Mwachiluwi
Njoo kaka..
 
Halafu 'dushelele' lako linakupenda halikudhalilishi!

Mi mwanamke zinayemkataa hisia zangu, hata nimuwaze fatuma ndara ndefu hainisaidii, lazima kitu kirudi nyuma na kusoma zero!

Hata awe amekula hela zangu husamehe na kukubali kushindwa!

Nipo makini sana kwenye 'selection' mzee wangu, maana isije mwisho wa siku nikakosa amani.

Halafu mkuu kama ni mpenzi tu, kwa nini usibadilishe maamuzi, utamlia viagra hadi lini?
 
X zimekuathiri...kwa ushauri tu kaa funga mwaka mzima na usali sana bila ya mapenzi mpk u restore nguvu yako ya kiroho na kama huwezi endelea kufanya punyeto tu kupitia live sex site chagua unayemtaka
 
Bado nawaza kwenu wenzangu, inakuwaje hadi unalala na mwanamke ambaye siyo chaguo la moyo wako?
Alikuwa mpenz wangu wa zaman,sasa alikuja kwao hvyo jion akanywa pombe sjui zilishuka chini akafosi sana kuja kwangu hyo jioni ikabid nimkaribishe tu,akalala mpaka asubuh
 
Na mliachana siku nyingi sana inaonekana!

Changes za kuota vitambi na manyonyo 'kutela', dah zilipendwa sana huyo itakuwa, maana hapo itakuwa ashazaa sana.

Sasa bado nawaza: ingelikuwa ni kuozeshwa kwa kuchaguliwa mchumba kisha kuletewa mke kama mila zetu zinavyotaka, ndiyo kuonekana mtu huna nguvu za kiume hapo isee na demu kutamba kabisa...'nimeolewa na mwanaume siyo ridhiki'...! 😃😃😆

Kumbe roho tu imemkinai, mapenzi yana vipengele sana.
 
Hujakosea kabisa ndo hvyo ilivyokuwa,tulikuwa tuna muda hatujasex ila tulikuwa tukionana mara moja moja akija kwao na kuna kipind mim nilkuwa na mke hvyo tuliishia kuongea tu

Sasa safar hii alikuja akanikuta sina mke(nimeachana nae)
 
Back
Top Bottom