msaada wa kisaikolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Serikali iweke mkakati na kutengeneza rasilimali kwa ajili ya utoaji wa huduma za kisaikolojia kwa waathirika wa ghasia za Oktoba

    Wakuu, Jaji Chande ameshauri serikali kuchukua hatua za kuimarisha huduma za msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa kuandaa mkakati maalum wa kitaifa, kutenga rasilimali zinazohitajika ili kuhakikisha huduma hizo zinawafikia wahusika Lakini pia Gavoo ifanye tathmini ya haraka ya athari za...
  2. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huwa ninaambiwa nina "potential" kubwa ila mimi siioni na ninahisi pengine siitumii kujinufaisha

    Sina lengo la kujisifu ila nahitaji msaada wa kisaikolojia au kitu kama hicho. Nilikuwa mtu wa ku share ideas ila watu wengi walikuwa wanazikataa kuwa hazifikiki au ni malengo makubwa kuliko uhalisia. So nikaamua kuto share chochote na watu zaidi nafanya mwenyewe kwa pace yangu. So huwa public...
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisaikolojia nimeathirika

    Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana. Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisaikolojia umetolewa kwa watu wenye ulemavu

    MSAADA WA KISAIKOLOJIA UMETOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU Watu wenye Ulemavu 821,763 (wanaume 411,321 na wanawake 410,442) walipatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia. Kati ya hao, watu wenye Ualbino 67,502 walipatiwa msaada wa kisaikolojia wakati wa uendeshaji wa kliniki za uchunguzi wa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nimeumbuka, naomba msaada wa kisaikolojia ndg zangu!

    Nilikuwa naongea na watoto (wanafunzi) kama 100 hivi. Basi katikati ya maongezi ikanijia chafya, nikaziba mdomo tu nilijua kuwa sina tatizo lolote na ni chafya ya kawaida tu kama zile zingine. Ajabu ni kuwa nilipopiga tu ile chafya lilitokea pande kubwa puani la kamasi mbichi na nzito sana...
  6. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Anahitaji msaada wa kisaikolojia

    Wakuu naombeni mnipe mawazo ya kiushauri niweze kumshauri huyu ndugu yangu, Nahisi hayupo sawa kisaikolojia. Ni mtoto wa mjomba wangu alimaliza diploma ya clinical officer mwaka 2020 akiwa na G.P.A ya 3.1, Kwa wakati wote tokea amalize hakuwahi bahatika kupata ajira ya kudumu zaidi ya kazi za...
  7. Kwamacho

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya familia yangu yananiharibu kisaikolojia

    Ndugu zangu, napenda kushiriki hali yangu na ninaomba ushauri wenu. Nimekuwa nikilelewa na bibi yangu tangu nikiwa na umri wa miaka 2 na sasa nina miaka 24 na wazazi wangu wote wapo hai mpaka sasa. Sijawahi kuonana na baba yangu kabisa ingawaje kwa sasa tunawasiliana katika simu, Mama yangu...
Back
Top Bottom