Kama unazo nalipa shilingi elfu ishirini na tano (25,000) kwa kilo. Nanunua kuanzia nusu kilo. Kigezo muhimu ziwe na ukubwa sahihi yaani ziwe zimekomaa. Nipo Arusha. Usafiri nitalipia. Nimeagiza mara mbili kutoka Dar na Dodoma ila nimeletewa mbegu ndogo sana. Kama unazo nicheki whatsapp 0789904445