Tumsikilize huyu mnyonge

Rlechas_3a60

Member
Oct 4, 2018
12
27
STORY NA
RAMADHANI BITANGWA KABATI
S.L.P 229
LAELA SUMBAWANGA
2019
NUMBER 0758596659

YAH. MALALAMIKO YA KUTOTENDEWA HAKI KATIKA SWALA LANGU LA MADAI
Naomba mahakama kuu iniangalie kwa jicho la pili, iangalie Familia niliyonayo ya watu kumi na nne, (14). Sina uwezo wa kuwasomesha wanangu, wamekuwa machokolaa saizi wanaishi kwa kuomba omba mitaani, sina kianzia cha kuanzaia maisha upya.

Umri nilioanza nao wakati natafuta pesa nilianza na biashara ya uchinga ndani ya Meli ya Kigoma-Zambia. Nilikuwa nauza Nanasi mpaka Zambia. Kurudi toka Zambia nilikuwa nabeba Juice na Biskuti. Nifikapo Kigoma ilikuwa naenda kununua mchele napakia kwenye boti ndogo naelekea Kongo wakati meli ikiwa inapumzika. Nikifika Kongo nauza huo mchele na kununua vitenge na mafuta narudia Tanzania (Kigoma) kuuza bidhaa zangu.

Mtaji ulipokuwa nikiupata Kigoma nikienda nao mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga, Ziwa Tanganyika Korogwe. Nilifungua hoteli ambayo ilinipatia mauzo ya Shilingi Laki Mbili hadi Tatu (200,000/= - 300,000/=).
Kwa muda wa wiki mbili nilikaa hapo nikahamia Sumbawanga Mjini. Niliuza mikate ofisi ilikuwa Jagwani kwa Mzee Kasososi nikakaa hapo kwa muda takribani Mwaka Mmoja nikahamia Mpanda. Huko nilifungua hotel inaitwa Bugaboo karibu na stendi kuu ya zamani. Hoteli hii nilifungua mwaka 2012 baadae mwenye nyumba alisitisha biashara yangu na nikahamia Mkoani Mbeya Wilaya ya Mbozi. Nilinunua uwanja karibu na Tazara na nikajenga nyumba huku nikiwa nafanya biashara ya mazao.

Biashara hiyo hakunilipa, nikaaza biashara ya kununua mihogo soko la Ziwa Tanganyika, Korongwe na kusaga mihogo hiyo ili kupata unga nikipakia kama tripu tatu (3). Niliwaza biashara gani inanifaa ili niifanye na kuata majibu ya kurudi Mkoa wa Rukwa. Nikashuka ziwa Rukwa nikafungua Hoteli kwa mara nyingine ila hii ilikuwa pamoja na duka la vinywaji vya jumla.

Operation tokomeza ikanichomea maduka yetu na kuibiwa, serikali tulisema tutalipwa mali zetu nilipoteza. Nilipoteza mtaji wa takribani shilingi milioni kumi na saba (17).
Bado nilipata nguvu na kusimama tena kwa kuiacha familia yangu Kijiji cha Kilyamatundu nikaenda Mkoa wa Geita Wilaya ya Bukombe Kata ya Kunzewe Kijiji cha Nyampalahala Poli la Mavota.

Nikaanza kukata miti kwa ajiri ya mkaa nikiwa na kibali maalumu kutoka mamlakaya mali asili. Nikakaa Miezi minne porini hapo nilipata Milioni Mbili na Laki Sita. Nikarudi kukaa na familia yangu ambapo nilipangishwa nyumba na Mzee Kisinza.

Nikafungua hoteli kwa mara nyingine kwa siku nilikuwa nachinja mbuzi watatu hadi wanne (3-4). Kufuatana na hali ya biashara nikauza Petrol nikafungua na duka ndogo. Nikaobwa na Mwenyenyumba nihame ili aweze kufanya ukarabati kwenye nyma yake. Alinipa muda nikatafute makazi mapya.

Nikapata nyumba kwa Mzee Jackson, nyumba hiyo ilikuwa inahitaji ukarabati gharama yake ilikua takribani Laki Nane (8). Nilitoa pesa hiyo na kumpatia bila maandishi. Ukarabati ulipokamilika nikaingiza biashara yangu kwa mkataba. Mkataba ulivyoisha nilianza kulipa kodi upya.
Watoto wakahitaji jengo hilo ili wafanye biashara nikapanga chumba cha duka kwa Francis Saamoja Daudi Kalele. Bwana Saamoja ni Mkazi wa Kilyamatundu aliniuzia Mbuzi saba (7) kwa shilingi Laki Mbili na Sabini (270,000/=). Nikalipia shilingi Laki Moja na nusu (150,000/=) kwa awamu ya kwanza.

Ilikua 2018, Francis Saamoja Daudi Kalele alifuatwa na Askari nyumbani kwake na kukamatwa hadi kupelekwa gerezani. Nilitafuta wa kumlipa pesa yake iliyokuwa imebaki nikamfuata Meneja wake Laurent James niampa pesa kiasi cha Laki moja na Elfu ishirini (120,000/=).
Pesa hii ilimsaidia kulipia hadi kutoka kwake na alipotoka aliniambia kwa pumzi yake kuwa anashukuru kwa kumlipa pesa yangu kwenye wakati muhimu kama ule. Alianza kuanzisha urafiki mkubwa kwangu.

Muda huo nilikuwa nimeanzisha viwanja na kuanza ujenzi ramani ya nyumba kwa ajili ya hoteli, bar, na gesti. Nyumba ya kwanza nilitumia mtaji wa takribani Milioni Sita na Laki Tano na kuuzika kwa milioni kumi ilipomalizika, mnunuaji anaitwa Masala Madha, No.0764009240, shahidi Mwenyekiti wa Kijiji No.0767538418.

Na nyumba ya pili niliuza kwa milioni kumi na moja kwa mnunuzi Masala Madaha, alinipa Milioni Saba, ikabidi milioni Nne tukandikishiane wakati ameleta hizo milioni saba kwa awamu ya kwanza, shahidi alikuwa Mwenyekiti wa Kijiji,
Nyumba ya Tatu niliuza kwa shilingi Milioni Nane na Laki Nane kwa Ngwisu. Alitoa Milioni Moja kwa awamu ya kwanza, na kwa mara ya pili akatoa Shilingi Milioni Tatu na mara ya tatu akatoa Shilingi Milioni Tano, mara ya nne alitoa Shilingi Laki Nne na huku akiongeza Shilingi Milioni Moja na Laki Tano. Aliyekuwa anapokea haya malipo alikuwa Mfanyabiashara kwa jina maarufu, Haruna No.0768343841.

Huku alipokuja kumalizia deni Shilingi Milioni Mbili alikuwa na baba yake Kulwa Kisinza No.07683504622. Tukaandikishiana na kuyamaliza mbele ya Mashahidi. Dalali alikuwa Mwandamila No.074579745, pia shahidi mwingine alikuwa Mwenyekiti wa Kijiji.
Nyumba ya nne nikamuuzia Zengo pamoja na kiwanja cha Shilingi Million Sita na Laki Tano, tukaandikishiana na akalipia papo hapo No.0755191417.
Nikaja kumuuzia kiwanja Mzee Kisinza mpaka sasa maandishi hakuna, alishajenga na sijawahi kufikilia kumnyima haki zake.

Naiomba Mahakama Kuu ya Tanzania iweze kunisaidia kwani Saamoja Daudi Kalele alitengeneza urafiki mkubwa na mimi na baadae kunithurumu haki zangu za msingi.
Niliwahi kumpa Nondo na simenti vya thamani ya Shilingi Laki Nane hatukuwa na maandishi ya aina yoyote. Baada kukalipana na kumwomba anikope Shilingi Laki Tano na kumrudisha Shilingi Laki na Themanini.
Saamoja alikuwa Mfanyabiashara mkubwa aliwahi niuzia mageti manne (4) kwa Shilingi Laki Nne hatukuwa na maandishi.

Baada ya siku kumi (10) nikamletea simenti na huku tukiwa tumelipana deni kwa njia ya Amani tu.
Alikuwa akitoka na gari nyumbani kwake na kunipitia nyumbani kwangu na kuniomba ushauri mbalimbali kuhusu nyumba zake. Ikafikia wakati akanipeleka hadi kwenye jengo lake liliopo Stendi. Ambalo alitaka kumpangishia Askari Hassani Wakawa ikiwa washakubaliana alipie Shilingi Milioni Mbili na Laki Nne huku ukarabati mdogo iwe kwa ajili ya bar na gesti.

Makadilio ya ujenzi huo yalikua zaidi ya milioni kumi na tatu hivyo kuhairisha. Saamoja Daudi aliniomba ramani ya gesti ndani ya jengo hilo nikampatia akanishawishi anipe upande wa bar, hoteli na duka kwa shilingi laki moja na nusu kwa kila mwezi kwa vyumba vine.
Tukameita Mafundi wa ujenzi, na tupiga makadilio ya thamani za tofali, simenti, mchanga, ufundi marumaru, kujimba choo na kujenga madilisha matano (5) na mageti (2).

Hesabu hizo tulikuta zinachukua Milioni Tano na Laki Nane.
Mahesabu yalikuwa wanapungua kutokana kwa kuagiza vitu vingi toka mjini. Mfano, kati ya matofali 5700 za makadilio, zilitumika matofali 1000 kwa nyumba hiyo. Aliekuwa anasomba matofali na kuyaleta kwa gari yake alikuwa anaitwa Maneno akisombea mchanga Maka No.0757736613. Ambaye alihusika kwa kuchota maji madumu sita No.0753282535. Mafundi ujenzi walifahamika kwa majina ya Mafuta No.0763424696, Erick na Baraka No.0746346521, Fundi Mnyiha No.0757741186

Makubaliano ya awali tukiwa na Fundi Mafuta tulikubaliana pamoja na Saamoja Daudi huku tukifunga mkataba mbele ya viongozi nitakapo malizia kukarabati tutalipana. Nilipomaliza kukarabati huo nikaenda ofisini kama mkataba ulivyo tuongoza.

Viongozi wa Kijiji walimuita Saamoja, na kuomba Ofisi ya Kijiji apewe Siku Mbili ili afikirie kunirudishia deni langu la Shilingi Milioni Nne na Laki Mbili na Mia Saba (4,200,700/=),
Serikali ya Kijiji ikaobwa na Saamoja niachiwe Jeng kwa biashara zangu binafsi ili kupunguza deni hadi atakapo rudi kwa mkatba, mkataba utakapoisha nirudishe funguo Ofisini hapo.

Siku ya Tarehe 19 Mwaka 2018 nilifunga Ofisi muda wa Saa Tatu usiku, na kurudi kesho yake alfjiri muda wa saa kumi na moja na kukuta makufuli na vitasa badilishwa bila taarifa. Mtendaji wa Kijiji hakuwa anapatika wakati huo kwa njia ya simu ikanibidi niende kwenye Ofisi ya Mwenyekiti wa Kijiji pamoja na Mtendaji.
Niliwaelezea hali niyoikuta na kuuliza kama wa taarifa nayo toka kwa Mwenyenyumba (Saamoja). Walinijibu kwa kusema hawana taarifa na kujaribu kumtafuta Mwenyenyumba kwa njia ya simu bila mafanikio. Na baadae wakasema tusubiki huweza atakua analeta pesa yako.

Lakini baada ya siku takribani saba Mtendaji aliendelea kumtafuta kwa njia ya simu na kufanikiwa. Alitoa jibu ya kwamba anauguza mtoto wake Mkoani Mbeya na kutoa ahadi ya kupatikana wa kurudi Tarehe 30.
Alivyofika alipiga simu kwa Mtendaji na kuomba nifuate pesa yangu nyumbani kwake. Mtendaji alinieleza na nikamjibu kwa kukataa ombi la Saamoja kuhusu kufuata pesa hiyo kwake, kwani mkataba ulikuwa umeandika na kukubaliana kukabizana pesa rasmi Ofisi ya Serikali ya Kijiji.

Pia nilikataa kwa ni mtu wa kuogopwa kwani ni mmliki wa silaha kwa nyumba yake na mwenye kesi nyingi na kubwa ya mauaji. Mtendaji alimjibu kwa kumwomba aje Ofisini Tarehe 5/2/2019.
Tarehe hiyo ilipofikia majira ya Saa Tisa na nusu nikiwa peke yangu hapo ofisini nimekaa alifika Saamoja na gari lake na kuchomoa bastola toka mfuko wa suruali tukiwa wawili tunasubili Uongozi ufike hapo Ofisi akasema
Silaha yangu naimiliki kihalari kama unataka mali yako njoo nyumbani kwangu”,
Sikumjibu chochote kwani hofu ilinizidi kutoakana na kitendo hile. Walipofika viongozi tukaingia ndani kabla hata hatujakaa alianza kufokea viongozi na kuamuru wanipe barua niende kwenye Mahakama. Nilipopewa Barua hiyo nilielekea hadi kitu cha Polisi, nilihojiwa na baaadae waliniambia nirudie kesho yake Asubuhi.

Asubuhi nilipofika nilikuta Mtendaji anaojiwa na baadaye waliniomba Shilingi Elfu Hamsini (50,000/=) na kuambiwa niende Mahakama ya Laela. Niliomba nakala ya Mtendaji wa Mwenyekiti ya maelezo sikupewa hata nilipofika Mahakamani sikupata haki zangu.

Kwani nilinyimwa nakala ya kesi yangu. Na kuendelea kupewa hasara kwa kuuza nyumba yangu yenye vyumba saba yenye thamani ya takribani Shilingi Milioni Kumi na Moja ila ikauzwa Shilingi Milioni Mbili na Laki Mbili na Uongozi wa Kijiji kwa sababu familia ya watu kumi na tatu (13) ilikuwa na najaa.

Pia kwa viwanja viwili vya thamani takribani ya Shilingi Milioni Moja na Laki Tano viliuzwa kwa Shilingi Laki Nne tu. Hizi ndio baadhi ya hasara niliendelea kuipata wakati Saamoja ameninyang’a mali zangu.
Je tapeli hana ahabu?
Mwizi ameishinda Serikali?
Ama sikupata haki zangu kwa sababu siyo tajiri?
GHARAMA ZA UJENZI

Ilikuwa mnamo wa Novemba, 28 mwaka 2018 tulianza ujenzi wa choo vinne (4) vya futi 10
Kwa kila kimoja kwa thamani ya Shilingi Elfu Hamsini (50,000/=)
Matofali 1000 kwa thamani ya Shilingi Milioni Moja (1,000,000/=)
Gari lilibeba tofali malipo Shilingi Elfu Arobaini na tano (45,000/=),
Mchanga trip moja kwa thamani ya Shilingi Elfu Ishirini na Tano (25,000/=)
Maji kwa thamani ya Shilingi Elfu Kumi na Mbili (12,000/=)
Malipo ya ufundi kwa Fundi kwa siku Shilingi Elfu Therathini (30,000/=)
Simenti mifuko mitano kwa thamani ya Shilingi Kumi na Saba (17,000/=) kwa kila Mmoja , jumla Shilingi Elfu Themanini na Tano (85,000/=)
Matofali 4,700 kwa ajiri ya ukuta kwa thamani ya Shilingi Laki Nne na Elfu Sabini (470,000/=)
Gari la kubeba matofali malipo Shilingi Laki Mbili na Elfu Ishirini na Tano (225,000/=)

Tarehe 29, Novemba Mwaka 2018
Maji kwa thamani ya Shilingi Elfu Nane (8,000/=)
Mchanga kwa trip mbili kwa thamani ya Shilingi Elfu Therathini (30,000/=)
Simenti mifuko minne kwa thamani ya Shilingi Elfu Sitini na Nne (68,000/=)
Malipo ya ufundi kwa mafundi watatu kwa siku Shilingi Elfu Therathini na Sita (36,000/=) na malipo ya wasaidizi wake Shilingi Elfu Kumi na Nane (18,000/=).

Tarehe 30, Novemba Mwaka 2018

Tarehe 2, Desemba Mwaka 2018

Tarehe 3, Desemba Mwaka 2018

Tarehe 4, Desemba Mwaka 2018

Tarehe 5, Desemba Mwaka 2018

Tarehe 6, Desemba Mwaka 2018

Tarehe 7, Desemba Mwaka 2018

Tarehe 8, Desemba Mwaka 2018

Tarehe 9, Desemba Mwaka 2018

Tarehe 10, Desemba Mwaka 2018

Milango kwa thamani ya Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini (180,000/=)
Madirisha matano kwa thamani ya Shilingi Lki Tatu (300,000/=)
Fundi umeme alilipwa Shilingi Laki Moja na Elfu Ishirini na Tano (125,000/=)
Rangi ya krimu kwa thamani ya Shilingi Elfu Sitini (60,000/=)
Marumaru tano kwa thamani ya Shilingi Elfu Tisini (90,000/=)
Fundi Marumaru malipo Shilingi Elfu Hamsini (50,000/=)
Mpazia nane kwa thamani ya Shilingi Elfu Arobaini (40,000/=)
Mashuka Sita kwa thamani ya Shilingi Elfu Sitini (60,000/=)
Fundi wa chaga malipo Shilingi Elfu Therasini na Tano (35,000/=)

JUMLA YA UJENZI WOTE NI SHILINGI MILIONI NNE LAKI MBILI NA ELFU ISHIRINI NA NNE, (4,224,000/=).

THAMANI YA VITU NDANI YA DUKANI

ndoo 30 za mafuta lita kumi, unga wa nagano ……. Mifuko 15, Amira katoni moja , mayai trei 100, sukari katoni4, chumvi katoni 10, blue bendi dazan 5, mikte 100, betri katoni moja, jojo boksi 6, biskuti katoni 10, tishi dazan 4, sabani katoni 6, foma mifuko 2, grand malta katoni 2, sitiki katoni moja, mishumaa katoni moja, kiberiti katoni 2, wembe paketi 1

THAMANI YA VITU NDANI YA HOTELI NA BAR
kreti 10 za safari, soda kreti 12, maji katoni 10, enegy katoni 5, soda za kopo katoni 30, juisi kubwa embe katoni 5, juisi ndogo embe katoni 5, azam malta katoni 10, grand malta katoni 1, sigara boksi 2
Upande wa hoteli mchele debe 5, maharage debe 2. Mkaa gunia 3, viazi gunia 2, tambi katoni 3, kuku 6, mbuzi 1, vitunguu debe 1, maziwa lita 20, nyanya debe 1, maandazi 150, mafuta lita 20, chumvi katoni moja, sukari kilo 10, majani ya chai katoni 1, tangawizi kilo 10, pilipili kilo 1, vitunguu swaumu kilo 3, viungo vya pilau kopo 5

THAMANI YA VITENDEA KAZI
viti 20, meza 3, kabati 1, sufuria 7, sahani za udongo 42, sahani za dabo 60, vijiko 62, bakuli 48, vikombe vya chai 48, flaypeni 3, siki ya lita 100, pipa moja la chuma, pipa la plastic 1, mtambo wati 100, betri wat 70, taa 12, iveta wati 230, radio na spika 2, baskeli, shoka, panga, visu 5, pamoja na mashine ya kusaga nyama.
 
Wote wajanja hao, mlalamikaji kuna sehemu aliteleza kidogo mwenzake akamzidi kete
 
Mtiririko mrefu sana.watu wajanjawajanja wana ulimi mrefu.Yote hii ni kufunika kanjanja wanayoimiliki kwenye bongo zao.Tuiachie mahakama itatoa tafsiri ya huu ulimi mrefu.
 
Back
Top Bottom