Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

Nawatafuta mawifi kwa mara nyingn,

wifi sunajua ningeweza kukusaidia,

Ila wale wenzangu wacheza segere watakuja siku ya jumammosi,

Na siwezi kuhgairi maake mmeshona sare cc Seran
 
Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla.

Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi, wanakula sana mapumba (hela) ila hawata taka kuathiri vyanzo vyako vya fedha; ila ni bora wao kuliko kuwa na marafiki wengi wa kiume/ jinsia yako, ambao utawalisha, utawanywesha lakini bado watataka kujua vyanzo vyako vya fedha, ili wakuangushe.

Kwa hiyo, marafiki wote wa kike karibuni; baharia nipo hapa, tayari kuwapokea kwa mikono miwili.​
Hizo tambo zishaisha babu . Fanya kama unajikuna tu 🤣

Ukitulia huku huku panaachia acha njau

Mipasho wanaipenda sana mpaka wana mis 😜😜😜
 
Umeomba papa kijanja sana mkuu!

Ila wanasema siku hizi hawaombi namna hiyo😬
 
Back
Top Bottom