Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,653
- 3,248
Basi tuendelee kujiandaa na el nino mkuuMarafiki wa maana hawapo siku hizi, ni wasaka fursa ndio waliopo; fursa ikipotea na wao wanapotea.
Basi tuendelee kujiandaa na el nino mkuuMarafiki wa maana hawapo siku hizi, ni wasaka fursa ndio waliopo; fursa ikipotea na wao wanapotea.
Huyu atakuwa mchana hajala, ndio maana anawaza vibaya.Kumbe kuna kazi ya uvuvi wa samaki wapya?
Mvua za elnino hazieleweki, jiandae mapemaAnavua kijanja na kwa wivu mkubwa sana
Hapa umetisha sana na bwana Kafulila kaanza kuaminika kuhusu wanawake kumiliki uchumi kwa 70 asilimia.Hizo chupa mbili bill niwekewe mimi tafadhali, nitalipa.....
Na nitakulipia na chupa zako
Ni vizuri maandalizi ukafanya mapema, kwa sababu zinakuja na baridi kali.Basi tuendelee kujiandaa na el nino mkuu
Nishatoka mabondeni bwashee, nipo viti virefu na chamba koromea naanglia watu huko chini wakizolewa na mafuriko tuMvua za elnino hazieleweki, jiandae mapema
Kwa dunia ya sasa, huyo rafiki mmoja anaweza kuwa yudaZamani ilikuwa rafiki mmoja (pen pal ) anatosha, ni mwendo wa kuandikiwa barua na inasomwa assembly
Ukiendelea kutafuta marafiki wengi, itakuwa tumempata mdogo wake na Mfalme Suleiman baada ya miaka mingi kupita 🤗
Na baridi utapambana nayo vipi?Nishatoka mabondeni bwashee, nipo viti virefu na chamba koromea naanglia watu huko chini wakizolewa na mafuriko tu
Kumbe uchambaji wa makoromeo huwa unafanya sledi kuchangiwa kwa uchangamfu sana bila nongwa!Nishatoka mabondeni bwashee, nipo viti virefu na chamba koromea naanglia watu huko chini wakizolewa na mafuriko tu
Hahahahahahaaaaaaaa kwamba mtiane joto....... dah!Ni vizuri maandalizi ukafanya mapema, kwa sababu zinakuja na baridi kali.
Ukilewa achana na sledi bwashee 😁Kumbe uchambaji wa makoromeo huwa unafanya sledi kuchangiwa kwa uchangamfu sana bila nongwa!
Huyo "cc" aandaliwe supu ya pua ya nguruwe.Atafurahi sana.Tunaikata na futa la nguruwe na John walker cc Seran
Umesema pua ya nguruwe umefanya mate yametoka , halafu upate ikiwa imechemshwa naanza kwanza pitishi ulimi kwa pua kutoa lile futa 😋Huyo "cc" aandaliwe supu ya pua ya nguruwe.Atafurahi sana.
KwishaBaeleze👌🏽
Bwashee ni wewe tuNgoja mimi nipambane kutafuta mitetea, ukiwa na mitetea mingi unakuwa na uchaguzi mkubwa.
ukisoma ubongo_3, utapata jibuHahahahahahaaaaaaaa kwamba mtiane joto....... dah!