ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
umeonaeeee aakuta amehamia kabisaanatoa nafasi nzuri ya mchepuko ha ha ha
atajuta mbona....akae na mumewe wayamalize mambo madogo sana haya
umeonaeeee aakuta amehamia kabisaanatoa nafasi nzuri ya mchepuko ha ha ha
ha ha ha ha uuuuuupsi ondoka wenzio tuhamie loo
acha utot kaa na mumeo muongeee
kumbuka baba ni kichwa cha familia kosa alofanya ni kukutokukushirikisha tu
Tatizo threads zako huwa haziaminiki bi mkubwa...
Wachagga kwa roho mbaya mmezidi,..mgeni kafika asubuhi umejiandaa kwenda kazini umeona ugombe kwanza kwanini mgen kaja bila kujali utachelewa kazini....huyu mume wako ni lazima atakua ni kabila tofauti na wewe na anajua una roho mbaya ndio maana kaona asikuambie,....nampa big_up huyo jamaa....you just go back to your parent..and never come back.
Habari zenu wapendwa, imani yangu ni kuwa mu wazima,
Kuna tatizo hapa, asubuhi ya leo nimekaa najiandaa kutoka kaja binamu wa mume wangu na mabegi kuuliza eti amekuja kukaa nyumbani kwangu asome chuo.
Kumuhoji kawa mkali eti mimi sina ubinadmu na mambo mengi mabaya nikasema tatizo siyo huyo binti kuja tatizo kwa nini hakunijulisha kama walishapanga amlete hapo nyumbani.
Nilichofikiria mimi naondoka niende nyumbani kwetu kidogo nirudi baada ya wiki moja coz haya mambo hata katika familia nilivyokulia baba hawezi fanya kitu kama hicho bila kumjulisha mama.
Hapa nipo sahihi wapendwa?
We mwanamke mjinga sana.
Unataka kuondoka kisa binamu ?kuna watu wanaletewa wake wenzao ndan na maisha yanaendelea
Hii kubwa kuliko duh!!
Wifi yangu ndo msumbufu ana 28yrs,lakini huwa nampa makavu,pia namuombea tu aolewe nae aende kwake,ki ukweli huwa sisumbui kichwa changu kuhusu wao as ninajua ni wapitaji tu
kweli kabisa akitaka ligi ataumia mwenyeweumeonaeeee aakuta amehamia kabisa
atajuta mbona....akae na mumewe wayamalize mambo madogo sana haya