Nahitaji kurudi nyumbani

Nahitaji kurudi nyumbani

Kuna watu jf hawana adabu kabisa....
Wanatupindisha migongo watu wazima kutoa ushauri kumbe chai tupu.....
Heri kuhamia habari mchanganyiko...

yani umeona eeh!afu hadi watu wanatoa mifano hai!hamjisikii vbaya lakini nyie watu...?!!!!!
 
Kuna watu jf hawana adabu kabisa....
Wanatupindisha migongo watu wazima kutoa ushauri kumbe chai tupu.....
Heri kuhamia habari mchanganyiko...

Hakuna thread iliyo ni kera kama hii daaa uongo una mwisho bora habari mchanganyiko watu watunzi sana huku.
 
Ndugu mwenyewe binamu nyama ya hamu. Wewe ondoka tu hiyo wiki moja kitakachokupata usimlaumu mtu.

Habari zenu wapendwa, imani yangu ni kuwa mu wazima,

Kuna tatizo hapa, asubuhi ya leo nimekaa najiandaa kutoka kaja binamu wa mume wangu na mabegi kuuliza eti amekuja kukaa nyumbani kwangu asome chuo.

Kumuhoji kawa mkali eti mimi sina ubinadmu na mambo mengi mabaya nikasema tatizo siyo huyo binti kuja tatizo kwa nini hakunijulisha kama walishapanga amlete hapo nyumbani.

Nilichofikiria mimi naondoka niende nyumbani kwetu kidogo nirudi baada ya wiki moja coz haya mambo hata katika familia nilivyokulia baba hawezi fanya kitu kama hicho bila kumjulisha mama.

Hapa nipo sahihi wapendwa?
 
Wanawake wengine bana ni Viazi, inamaana wewe mtu akitaka kuja kwa mmeo lazima akwambie wewe ndio umpe Visa ama? Nathubutu kusema ni utoto unakusumbua na pili ni kwakuwa hauna watoto bila shaka ndio maana!

Ukiamua kuoa ujue mke ni partner wako ndio maana mnakaa nae sasa kumletea mtu bila kumshirikisha huoni kama kuna tatizo? Mme angetakiwa amwambie mke wake kama mke ana roho mbaya hataki still mme alete ndugu yake but atleast mke aliambiwa lakini mtu anaingia kama anakuja kwa hotel bila mke kujua ni kosa na mke akianza kummistreat mtasema ana roho mbaya kumbe mme mwenyewe anamdharau mke sasa kisasi cha mke kitageuka kwa huyo ndugu.

Wanawake ni viumbe vyenye huruma na kisasi sana. Ukimdharau na akajua utaona roho mbaya yake jaribuni kuishi na wake zenu kwa akili kupunguza hizi roho za visasi.
 
hahahahaha mwacheni Manka aombe ushauri jamani .
 
Anajua kuna siku nilishawahi kumuwekea list ya threads zake, na tokea siku hiyo hakuwahi kuanzisha tena thread kwa ID yake hii...
ahahahahahaha mzee wa archives
yani hicho kichwa kina ubongo au CPU?
hahahahaha unandai ballantino!
 
Habari zenu wapendwa, imani yangu ni kuwa mu wazima,

Kuna tatizo hapa, asubuhi ya leo nimekaa najiandaa kutoka kaja binamu wa mume wangu na mabegi kuuliza eti amekuja kukaa nyumbani kwangu asome chuo.

Kumuhoji kawa mkali eti mimi sina ubinadmu na mambo mengi mabaya nikasema tatizo siyo huyo binti kuja tatizo kwa nini hakunijulisha kama walishapanga amlete hapo nyumbani.

Nilichofikiria mimi naondoka niende nyumbani kwetu kidogo nirudi baada ya wiki moja coz haya mambo hata katika familia nilivyokulia baba hawezi fanya kitu kama hicho bila kumjulisha mama.

Hapa nipo sahihi wapendwa?

Haupo sahihi kabisa na roho yako mbaya , umenivunja mbavu unavyomfananisha mumeo na baba yako anyway Kaolewe na **** yako.
 
Hakuna thread iliyo ni kera kama hii daaa uongo una mwisho bora habari mchanganyiko watu watunzi sana huku.
hujiuliz kwann ticha amebadilisha methodology?
nashauri thread chache sana nyingi napiga umbea tu!
huyu alifanikiwa kuniingiza chaka!
nazidi kujikita kwenye udaku!
 
Miongoni mwa wanawake wasitumiaga akili wewe ndo mojawapo, hivi kwenu na kwako wapi bora, samahani; Hapo cha kufanya, usiondoke bali kwako, huwezi kuondoka kwako ati kisa binamu wa mumeo kaja. Usiondoke ukaruhusu vishawishi kwa mumeo akishinda kuvumilia atamchukua dada-poa, hapo akilishwa vizuri atakusahau.
 
Usiondoke,si kaja kusoma tu akimaliza shule anaondoka zake,mimi kwangu nina wifi yangu ninakaa nae tokea niolewe,yaani nimeolewa tu akaja,nina shemeji zangu 3,na nina mtoto wa shemeji yangu 1,mtoto wa mme wangu 1,na wanangu watatu.Wewe kuletewa huyo tu mmoja tena kuna sababu kabisa ambayo kaja kusoma tu,Binti tulia kwako huyo anapita tu.Kama mme hajakujulisha samehe tu,itakuwa yeye alichukulia easy tu

Kuna watu mna roho nzuri dunia hii aisee.

Mungu awazidishie.

Nakiri wazi kuwa mambo ya ujamaa siyawezi, kama unakuja kwangu hakikisha kesho yake unasepa, kwangu kuwe kama kituo.
 
Kuna watu mna roho nzuri dunia hii aisee.

Mungu awazidishie.

Nakiri wazi kuwa mambo ya ujamaa siyawezi, kama unakuja kwangu hakikisha kesho yake unasepa, kwangu kuwe kama kituo.
Mimi msukuma hii ya kuishi na watu wengi home ni kawaida tu,tunakuwa nayo.Kwa hiyo mimi nilipokuwa na kwangu wala hainisumbui kuwa na extended family
 
Mimi msukuma hii ya kuishi na watu wengi home ni kawaida tu,tunakuwa nayo.Kwa hiyo mimi nilipokuwa na kwangu wala hainisumbui kuwa na extended family

kumbee...!bas shost mzaramo mie nimempata ngosha ndo mana wamejazana kwanguuuu...!nami wala sipati shida mama nimekuelewa sana ndo mana kwa ma mkwe wangu wapo kibao!
 
kumbee...!bas shost mzaramo mie nimempata ngosha ndo mana wamejazana kwanguuuu...!nami wala sipati shida mama nimekuelewa sana ndo mana kwa ma mkwe wangu wapo kibao!
kumbe wewe wifi yangu,ndo zetu hizo,japokuwa mimi sijaolewa na msukuma,tena wakati mwingine huwa natamani waongezeke.
.
 
Wifi yangu ndo msumbufu ana 28yrs,lakini huwa nampa makavu,pia namuombea tu aolewe nae aende kwake,ki ukweli huwa sisumbui kichwa changu kuhusu wao as ninajua ni wapitaji tu

ushasema ni msumbufu hatumuoi ng'ooo
 
Rudi kwenu "Binamu" akusaidie kumtunza Mumeo...
 
hahahahaaaa,,,,,, we unafikria kutokuoa, ukae single, huyu mankaa anafikiria kurudi kwao; sasa tofauti yako na yeye ni ipi? Ushasoma maoni hapa, jifunze namna ya kuishi na mke na ndugu, kaoe utengeneze tofauti. Cha!

Mkuu nadhani haukunielewa vizuri,ni kwamba kuna baadhi ya wanawake hawapendi kabisa kusikia kitu kinaitwa ndugu,yaani wao wanataka mkae wenyewe tu,kitu ambacho kwa nature ya maisha yetu ni ngumu sana,ni lazima tufike mahali tuyajue na kuyakubali maisha yetu,tatizo watu wamekuwa wabinafsi sana!!!
 
Inakera sana kushauri kanyaboya..

WATU8 EMBU TUWEKEE TENA LIST YA THREADS ZA HUYU DADA MUONGO MKUBWA.

MNAWAKATISHA TAMAA WATOA USHAURI NYIE MNAOPENDA STORY ZA KUTUNGA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom