Nahitaji kurudi nyumbani

Nahitaji kurudi nyumbani

Hivi unaachaje nyumba yako kirahisi rahisi hivyo?
Kaja bila wewe kutaarifiwa sawa ni kosa ila mbona ni dogo sana linaongeleka?
Amekuja kusoma baada ya hapo ata move on
 
Mwalimu wa Mwanamke ni kipofu,siku zote mwanamke hajielewi ni sawa na sm kuna wakati kichwa kina full network,sametime low,Me ningekuluhusu usepe kesho yake nabadiliza dini wiki ijayo naowa mtoto wa Tanga,kesho yake nakupa taraka 3 kushney
 
Well said ICHANA. Love you so much, tatizo nafasi zimejaa.

Oooh niweke hat reserve bhaas

Waambie mtu ambaye hapend ndugu ana matatizo na inaonekan huyu jeuri, wivu nk

Tuchukulie mfano ndugu anatoka sitimbi kapangiwa chuo dar..na yeye na mumewe wapo dar
Hao wanaosema watamsaidia huko huko wanamaanisha watatuma pesa aje usafir wa ndege daily or

Tuache ubinafsi jaman
Unaona bora ndugu akapangishiwe nyumba na huu ufirauni wa dar kuliko kukaa hapo home kwako.
Daaa ni hatar sana
 
Last edited by a moderator:
Usiondoke,si kaja kusoma tu akimaliza shule anaondoka zake,mimi kwangu nina wifi yangu ninakaa nae tokea niolewe,yaani nimeolewa tu akaja,nina shemeji zangu 3,na nina mtoto wa shemeji yangu 1,mtoto wa mme wangu 1,na wanangu watatu.Wewe kuletewa huyo tu mmoja tena kuna sababu kabisa ambayo kaja kusoma tu,Binti tulia kwako huyo anapita tu.Kama mme hajakujulisha samehe tu,itakuwa yeye alichukulia easy tu
Aisee....hongera sana
Unawezaje kuishi nao wote? Je hawakusumbui?
 
kama ww unazira wenzio wala.... Jifunze kwa comment za wanawake wenzako waliochangia humu. Wenzio wameona tatizo dogo kwahyo kama ww unaona huo ni mzigo basi nenda mama wakubadili sasa hvi.
Halafu unaonekana mbinafsi ww unakimbia nyumba kisa ndg kaja! Huuuu yesu wangu

Muache huyu na roho yake ya kaksi na choyo
Wanawake tunabomoa nyumba zetu wenywe

Ivi huyu anajua ataishi had lini au mtoto wake atakaa kwa nani
Huyo ni ndugu je angekuwa mtu baki sii ingekuwa balaa.
Ubinadamu kazi sana.
 
Nenda tu wenzako wanaisubilia hiyo nafasi usepe waje wakabe,hujui kuwa mpowengi sikuhizi?
 
Watu wenye akili kama za zenu mara nyingi huwa wanakua either wana majini au wachawi ,Au inawezekana uliugua ukichaa .
 
Aisee....hongera sana
Unawezaje kuishi nao wote? Je hawakusumbui?
Wifi yangu ndo msumbufu ana 28yrs,lakini huwa nampa makavu,pia namuombea tu aolewe nae aende kwake,ki ukweli huwa sisumbui kichwa changu kuhusu wao as ninajua ni wapitaji tu
 
Safi sana! Mimi nasema ndugu wote wawe wa mume au mke ni vyema wasaidiwe huko waliko kwanza watakuheshimu

Unalosema ni kweli aisee ingawa wataponda kusaidiwa huko.waliko ndo vizuri kuliko kuleta usumbufu tena wengine wanakuja dada mtu shemeji shangazi binamu cjui nani wanakuja kwako maisha yenyewe siku hizi magumu msaada wapewe huko waliko
 
Ndo solution tu?japo wengi wanakataa
 
Manka!! Hawa wenye majina haya wanafahamika kubagua ndugu wa mume. Kaka kaoa huko kwa akina manka, wanaishi karibu na hospitali. Kuna siku mama yetu mdogo upande wa baba( mke wa ba'mdogo) alilazwa hiyo hospitali. Mdogo wetu wa kike(mtoto wa mgonjwa) alikwenda kuomba msaada wa malazi na chakula. Ilikuwa ni ugomvi mkubwa. Shem alilalamika hakupewa taarifa kabla, ndugu wa mume wamezidi kusumbua, na blabla nyingi. Ikabidi huyo dada atafute chumba kwa muda, akarubuniwa na mfanyakazi wa kiume wa hiyo Hosp, akapata ujauzito. Hakuolewa,ila wanamlea mtoto wote. Hili kabila ni majanga.
 
Usiondoke,si kaja kusoma tu akimaliza shule anaondoka zake,mimi kwangu nina wifi yangu ninakaa nae tokea niolewe,yaani nimeolewa tu akaja,nina shemeji zangu 3,na nina mtoto wa shemeji yangu 1,mtoto wa mme wangu 1,na wanangu watatu.Wewe kuletewa huyo tu mmoja tena kuna sababu kabisa ambayo kaja kusoma tu,Binti tulia kwako huyo anapita tu.Kama mme hajakujulisha samehe tu,itakuwa yeye alichukulia easy tu

mama nimecheka kweli asubuhi hii .. Je angekuja mdogo wake huyo mwanamke na mumewe aondoke kwenda kwao? Wageni baraka na muda mwingine hufungua milango ya bahati. Huo ni ubinafsi uliopitiliza.
 
Usiondoke,si kaja kusoma tu akimaliza shule anaondoka zake,mimi kwangu nina wifi yangu ninakaa nae tokea niolewe,yaani nimeolewa tu akaja,nina shemeji zangu 3,na nina mtoto wa shemeji yangu 1,mtoto wa mme wangu 1,na wanangu watatu.Wewe kuletewa huyo tu mmoja tena kuna sababu kabisa ambayo kaja kusoma tu,Binti tulia kwako huyo anapita tu.Kama mme hajakujulisha samehe tu,itakuwa yeye alichukulia easy tu
Hakika wewe ndiyo mke
 
Hapa kuna jambo haliko sawa kwa kuwa hujafafanua;

Unaposema nauli ya chuo ni shilingi elfu 3 kwa siku na kwamba hujajipanga nahisi hapo pana shida! Hivi mwenzi wako hana kipato wala shughuli anakutegemea wewe katika kuendesha maisha yenu? Nilitegemea useme pengine hamkujadiliana hivyo unahisi hamjajipanga lakini kusema wewe hujajipanga, sijaelewa.

Lakini ujue pia katika maisha kuna baadhi ya mambo ambayo wewe au mwenzio unatakiwa kuamua na kumpa mwenzio taarifa tu nasi mjadala, na hili hutokana na background za maisha ya kila mmoja kabla hamjafahamiana na kuamua kuoana. Inawezekana mwenzio ametoka katika familia za walio wengi ambao ni maskini. Hivyo hata yeye inawezekana katika kukua hadi ukamuona na kupendana naye amesaidiwa na extended family na hivyo kama binadamu mwenye akili na utashi kamili na kujitambua ni lazima arudishe fadhila kwa kuwasaidia wengine wanaohitaji msaada ulio ndani ya uwezo wake.

Yote kwa yote kaa na mwenzio mwelewane hili jambo dogo tu kati ya changamoto lukuki za maisha yandoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom