Mzee mwenzio uzee unamnyemelea vibaya mpaka anasahau point muhimu
Kwani haiongezi nguvu za kiume?Unajua hata mimi nimeshangaa, umeorodhesha magonjwa yoote ila lile muhimu hujaweka.
Nikasema sawa, tubague tu.
Unajua hata mimi nimeshangaa, umeorodhesha magonjwa yoote ila lile muhimu hujaweka.
Nikasema sawa, tubague tu.
Binafsi nikushukuru kupitia bandiko lako hapa , sikuwa naujua mmea huu na matumiz yake ,pia niwashukuru wachangiji wote maana wamenifungua macho Sasa! Yaweza kuwa msaada kwangu au kwa jamaa siku Moja .Ndugu zangu nawasalimu!
Huenda lisiwe jukwaa sahihi lakini naomba msaada; Ni wapi hapa TZ naweza kupata majani ya Mnanaa (Curry Leaves).
Wale wazoefu masoko kama kisutu, Buguruni na sehemu zingine, hata wale wa Morogoro au Tanga wanijuze nina ndugu huko nitawaagiza, nina shida nayo sana waungwana nisaidieni kunijuza wapi yanapatikana
Kwani haiongezi nguvu za kiume?
Hahaaa mtakimbiwa muwe mnalalamika kichini chini
Kuna kichekesho kimoja kina Joti walifanya kipindi kile cha kikombe cha Babu, Babu aliwaambia wagonjwa kwamba kwa anayetaka kikombe kwa ajili ya dawa ya Ukimwi apange mstari wa huku, hakuna aliyejitokeza. Baada ya Babu kuona mstari wa ukimwi hauna mtu akasema basi anairudisha ndani ile dawa ya ukimwi watu wakalalamika wanasema tupe tu na hiyo hiyo hata kama hatuumwi!
Hahahaa aliwaweza kweli. Hii huwa inatokea mahospitalini au kwenye maombi wanaambiwa anayeumwa ugonjwa fulani akae huku,pozi linaisha.
Kwa hiyo hata sisi tunasema hata kama hatuumwi tupeni tu hizo dawa, unaweza kukuta ni kinga pia ukimeza mapema huugui huo ugonjwa.
Kariakoo Sokoni upande ule wa chini unaotizamana na Maduka ya bidhaa mchanganyikoUnapatikana katika masoko yapi sasa?
Akhaaa View attachment 467827
test huko huko,mie natoa tiba tu