Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
Aah si useme tu ushataman
Huyo sawa sio wewe na ndevu zako
Aah si useme tu ushataman
Nakula embe mwenyewe tena ole wake mtu aninyang'anye nitamlilia balaa.Nakuona enzi zako, kabla hawajakuchakachua kabikra kako...
![]()
Mmmhhhh! Halafu weweeee
Hahahaa! Jamaani. Kirahisi rahisi hivyoo.
Mumy umependeza kakupara nani?Am busy. See u badaeView attachment 467891
Muelekeze basi yanapopatikana.Hakuna haja ya kwenda hata huko kariakoo, hayo majani yapo tu. Mara nyingi yanaota pembeni mwa barabara kwenda kariakoo ni kupoteza mda wako na kupigwa pesa bure tu, uswazi yanatumika sana kama mafagio.
SAFISHA FIGO KWA Tsh. 500Mnanaa ni mmea ambao unapatikana sana katika nchi mbalimbali ikiwemo za hapa Afrika Mashariki, huku wengi wakiutumia mmea huu kwa kuupanda kama maua katika nyumba zao pamoja na bustanini.
Mmea huu huwasidia sana kinamama ikiwemo kuondoa maumivu wakati wa hedhi, kizazi kuuma pamoja na kuongeza maziwa kwa kina mama wanaonyonyesha.
Aidha, mnanaa pia husaidia watu wenye tatizo la misuri inayokaza ama kustuka , kutuliza maumivu ya sikio, kutuliza maumivu, sambamba na kutibu homa ya manjano.
Mnanaa pia husaidia maradhi ya koo, minyoo kwa watoto wenye chai yake,kuzui kichefuchefu na kutapika, kutoa gesi tumboni na kuzuia kuharisha na matatizo ya tumbo.
Hata hivyo, mnanaa bado unauwezo wa kutibu maradhi mengi zaidi ambayo ni pamoja na matatizo ya meno, ambapo mhusika hupaswa kusukutua au kutafuna mmea huo, huku ukifahamika kwa kuwa dawa nzuri ya kulinda meno yasiweze kumeguka au kung’oka na kuvuja damu kwenye fizi. SOURCE GOOGLE FROM DKMANDAI.com
Niliigoogle ikaja hiyo kweli ni mint sio mnaanaa
Mkuu nauliza mama mjamzito anaweza kutumia hayo majani mnaanaaPole sanaaa kwa hapa dar huo mmea unapatikana k,KOO sokoni ukifika pale nje waone wale wauza mboga mboga waambie nataka nanaa utapatiwa kwa bei ya tshs Mia tano tu kw a fungu,kwa kuongezea nanaa nimmea unaotibu matatizo ya mkojo km unatatizo lolote kuhusu mkojo nunua nanaa chemsha kunywa maji YAKE utaona utofauti Na awali,inatibu u.t.i. Na kwa watoto ambao awapati mkojo inawafaa sanaaa