Baki nalo mwwnyeweKale kabox kaurithi akikapata atachafua kila thread.
Baki nalo mwwnyewe
Wala usiwe na wasiwasi kaka atakataa humu ila moyoni amekubali.Asante dada kwa hii kauli ila kalivyo kabish lazma akatae
Hahahaaa!Huyu kaka ako muigizaji jaman,ukiwepo mpole kweli.
Morogoro Sokon utapata mkuu. Ww agizia hapoNdugu zangu nawasalimu!
Huenda lisiwe jukwaa sahihi lakini naomba msaada; Ni wapi hapa TZ naweza kupata majani ya Mnanaa (Curry Leaves). Wale wazoefu masoko kama kisutu, Buguruni na sehemu zingine, hata wale wa Morogoro au Tanga wanijuze nina ndugu huko nitawaagiza, nina shida nayo sana waungwana nisaidieni kunijuza wapi yanapatikana
asante dada kwa kusaidia kufikisha ukwel wakeWala usiwe na wasiwasi kaka atakataa humu ila moyoni amekubali.