Nahitaji kupata majani ya mnanaa

Nahitaji kupata majani ya mnanaa

haya majan nayakumbuka... niliyaonaga mbagala... ila sijui kama bado yupo yule dada.. alipanda kabisa kwenye bustan yake!
 
Asubuhi murua
2522906476260673327?account_id=1.jpg

dada kwa jinsi unavyosema ukwel juu yangu nna uhakika huyu Numbisa atakua na madukuduku meng sana moyon mwake ila ndio hakuna namna tena inabid akubali tu
Hahahaa! Usiogope kaka nimjuavyo Numbisa angeshaniambia.
 
Ndugu zangu nawasalimu!
Huenda lisiwe jukwaa sahihi lakini naomba msaada; Ni wapi hapa TZ naweza kupata majani ya Mnanaa (Curry Leaves). Wale wazoefu masoko kama kisutu, Buguruni na sehemu zingine, hata wale wa Morogoro au Tanga wanijuze nina ndugu huko nitawaagiza, nina shida nayo sana waungwana nisaidieni kunijuza wapi yanapatikana
Nenda kkoo sokoni wanapouza mboga mboga uliza mnanaa au mint pia mwenge ipo elfu moja au mia tano kwa fungu
 
Back
Top Bottom