Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,944
- 1,252,156
Pia inashusha homa kwa watoto,na kuzuia kukojoa kitandani kwa watoto.
Kweli kabisa japo nina miaka mingi sana bila kuuona huu mmea kwetu kule masaini ilikuwa ni dawa mbadala ya minyoo kwa watoto ilikuwa lazima watoto tuitumie japo mara mbili kwa mwaka