sisame
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 365
- 320
Ndugu zangu nawasalimu!
Huenda lisiwe jukwaa sahihi lakini naomba msaada; Ni wapi hapa TZ naweza kupata majani ya Mnanaa (Curry Leaves).
Wale wazoefu masoko kama kisutu, Buguruni na sehemu zingine, hata wale wa Morogoro au Tanga wanijuze nina ndugu huko nitawaagiza, nina shida nayo sana waungwana nisaidieni kunijuza wapi yanapatikana