FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,709
- 4,508
Kila la kheri mkuu katika mapambano.
wenye uhitaji mje muokoe jahazi, litazama jamani..
Kila la heri
Haya wakuu!
Haya wakuu!
Acha tu thread kama hizi zinakosa wachangiaji hata wa kuja kukutia moyo ila ungepost kwamba manzi anataka umpeleke kwa Mpalange uzi ungeenda kwa kasi ya 5G.
Hii ni changamoto mkuu kwa hapa JF. Ningeanzisha uzi wa kugegeda watu wangejaa!
Kweli kwa hili sisi kama members tumefeli sana.
Mkuu zikipatikani mbili hata mm nipo tayari kwasiku 3000√
Nakubali mkuu. Sikupingi.Acha tu thread kama hizi zinakosa wachangiaji hata wa kuja kukutia moyo ila ungepost kwamba manzi anataka umpeleke kwa Mpalange uzi ungeenda kwa kasi ya 5G.
Umevunja dau la Mwenye uziMkuu zikipatikani mbili hata mm nipo tayari kwasiku 3000√